MABONDIA WA KIKE WAKITUNISHIANA MISULI
Na Mwandishi Wetu
Mabondia Azizi Uliza na Ramasdhani Shauri wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa Desema 31 mpambano wa kufunga mwaka na kufungua mwaka
alikuwa wa kwanza kabisa kuingia katika viwanja vya las vegasi Mabibo kwa ajili ya kupima uzito ni Azizi Uliza aklieingia uwanjani kwa shangwe na ndelomo uku akisindikizwa na wapambe wake pamoja na vigoma vilivyoleta radha misri ya kuwa mpambano upo siku hiyo ya kupima kumbe ilikuwa siku ya kupima uzitio na Afya kwa mabondia wote watakaocheza
baara ya saa moja bondia Ramadhani Shauri nae akaingia na shangwe na ndelemo vifijo zaidi ya mwenzake ata hivyo nani zaidi ya mwenzie itajulikana katika uwanja wa kines Shekilango ambapo mtanange uho utapigwa kwa raundi 10
akizungumzia mpambano uho Promota Josepher Nyilawila kutoka kampuni ya Ijuka Sports amesema kuwa ulizi utakuwa ni wa kutosha kupita mahelezo ambapo mtu anaweza kuja na baiskeri yake na kuikuta salama baada ya mpambano
amesema mbali na mpambano uho siku hiyo kutakuwa na mapambano mengine yatakayowakutanisha mabondia mbalimbali
Hussein Itaba atazipiga na Kanda Kabongo na Tonny Rashidi atazipiga na Nassoro Madimba kutoka Bagamoyo maeneo ya Kiwangwa na Rolen Japhert atazikunja na Mohamedi Kashinde 'Simba wa Mbagala' nae Baina Mazola ataoneshana umwamba na Faraji Sayuni alisema mapambano yote hayo yatakuwa kwa kingilio cha tsh 6000 na kwa V.I.P 10000 utaweza kuangalia mapambano yote hayo yani kama vile bule |
No comments :
Post a Comment