Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, December 3, 2011

RASHIDI MATUMLA 'MTOA SUMU' AJIFUA KUMKABILI MANENO OSWARD 'MTAMBO WA GONGO DESEMBA 25


Bondia Rashidi Matumla (kulia) akioneshana ufundi wa kutupa masubwi na Mohamedi Matumla wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano na bondia Maneno Osward Desemba 25 katika ukumbi wa Henlken Kijichi Dar es salaam
ufundi wa masubwi upo hapa picha na (www.superdboxingcoach.blogspot.com)
ngumi ndonga masubwi mwanzo mwisho
Rashidi Matumla akiruka Kamba katika Kambi yake ya Mazoezi iliyopo Keko Dar es salaam leo.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Rashidi Matumla 'Mtoa Sumu' akipiga panch Bang wakati wa mazoezi yake kabla ya kumkabili bondia maneno Osward Desemba 25.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

FILAMU YA CLINIC LOVE YATOA ZAWADI YA BISUKUTI NA JUISI


Msanii Mohamedi Nice 'Mtunisi' akiwambia wanafunzi wa shule ya Buguruni Viziwi wakae kwa mstari kwa ajili ya kuwagawia bisckuti na juisi alizowapelekea kama zawadi kwa watoto hawo leo



Mohamedi Nice 'Mtunisi' akimkabidhi box kwa mwanafunzi wa buguruni viziwa, Chacha Mwita kwa niaba ya wanafunzi wenzake leo

VIPODOZI AMBAVYO AVINA KEMIKALI KUTOKA SWEEDEN VYAAMASISHWA KUTUMIKA NCHINI


Baadhi ya akina mama waliokuwepo kupata mafunzo ya vipodozi hivyo ambavyo avina kemikali
Wakina mimi wakicheza mziki wakati wa uamasishaji huo

WANAFUNZI WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA WAHITIMU LEO


Baadhi ya wanachuo wa Chuo cha Elimu ya Biashara CBE wakitunikiwa wakati wa mahafari ya 46 yaliyofanyika chuoni hapo Dar es salaam leo jumla ya waitimu 1973 wa shahada na Stashaada mbalimbali walitunukiwa vyeti


Baadhi ya Wahitimu wa Uongozi wa Usimamizi wa Biashara wakipongezana wakati wa mahafari ya 46 ya chuo hiko leo kutoka kushoto ni Saidi Mzuzuri, Mogasa Mogasa na Albert Kingu

BAHATI NASIBU YA TAIFA YAZINDULIWA


Mkurugenzi mkuu wa bodi ya michezo ya kubahatisha Tarimba Habbasi akionesha mashine zitakazotumika kwa ajili ya michezo hiyo

Baadhi ya Maofisa wa WINLOT wakijadiliana jambo
wageni waalikwa toka sehemu mbalimbali wakisikiliza mada zilizokuwa zikitolewa kuusu bahati nasibu hiyo
Mmoja ya washindi wa bahati nasibu ya hapo kwa hapo akipokea zawadi yake kutoka kwa mkurugenzi Tarimba Abbasi

PATA GAZETI JIPYA LA HEKAHEKA KWA SH. 400 TU



Fally Ipupa awasili jiji la Dar es salaam



Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Congo,Fally Ipupa akiwa ameongozana na wenyeji wake wakati alipowasili jijini mchana wa leo tayari kwa shoo moja ya Usiku wa Mwafrika mahsusi kwa Wadau wa Club E itakayofanyika usiku wa leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.
Fally Ipupa akiondoka uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere baada ya kuwasili uwanjani hapo leo kwa ajili ya shoo ya Club Embassy.

Thursday, December 1, 2011

TIMES RADIO FM YAZALIWA UPYA



Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Times Radio FM, Rehule Nyaulawa akielezea historia na mafanikio ya kituo hicho, wakati wa hafla ya kukitambulisha upya kituo hicho, Dar es Salaam jana.Kituo hicho kilichoanzishwa mwaka 2000, hivi sasa kinaongoza kusikilizwa na watu wengi katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)


Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro, Dar es Salaam.

Mtangazaji wa TIME FM, Scolastica Mazula (kulia) akiwa na baadhi ya wageni waalikwa.


Mmoja wa watangazaji wa Times Radio FM, Ali Masoud 'Kipanya' akiongoza hafla hiyo.


Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro, Dar es Salaam.


Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Times Radio FM, Rehule Nyaulawa (kulia) akigana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga baada ya hafla hiyo kumalizika.

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO BURUNDI



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati alipokutana na Watanzania waishio nchini Burundi jana Novemba 30. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Dkt. James Mwasi Nzagi (kulia) ni Mwenyekiti wa Kinamama wa Jumuiya ya Kinamama waishio Burundi, Siwajibu Hamis (wa pili kulia) ni Mwenyekiti wa Vijana wa Jumuiya hiyo, Mutalemwa Julian. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaaga baadhi ya Watanzania waishio Burundi baada ya kumaliza mazungumzo alipokutana nao Bujumbura Burundi jana Novemba 30 na kuzungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea katika Taifa la Tanzania. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Watanzania waishio Bujumbura Burundi, baada ya kumaliza mazungumzo baina yao yaliyofanyika jana Novemba 30 na kujadili mambo mbalimbali yanaoendelea katika Taifa la Tanzania. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Makamu wa Rais wa Burundi, Therence Sinunguruza, wakati akiwa kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Burundi tayari kwa kuondoka nchini humo kurejea Tanzania baada ya kumaliza shughuli za Mkutano wa Nchi za Maziwa Makuu, uliomalizika Bunjumbura Burundi juzi Novemba 29. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

RAIS DK. JAKAYA KIKWETE APOKEA MWENGE WA UHURU UWANJA WA UHURU

Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru leo Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Walioketi toka kulia ni IGP Saidi Mwema, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange, Spika wa Bunge Mh Anne Makinda
Rais Jakaya Kikwete akiwatakia heri Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Jenerali Davies Mwamunyange na wanajeshi wataopandisha kilele cha mlima Kilimanjaro Mwenge wa Uhuru mkesha wa siku ya uhuru. Kushoto ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi , wa pili kulia ni Naibu waziri katika wizara hiyo Dkt Fenella Mukangara na wa kwanza kushoto ni mmoja wa wataopandisha Mwenge mlima Kilimanjaro. (PICHA NA IKULU)
Rais Jakaya Kikwete akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh Fatuma Mwassa na maafisa wake baada ya mkoa huo kuibuka mshindi wa jumla wa mikoa iliyofanya vyema katika mbio za mwenge wa wingi wa miradi na maandalizi.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi mwenge wa uhuru mkuu wa majeshi Jenerali Davies Mwamunyange ambaye atawakabidhi wapandishaji mlima kilimanjaro
Rais Jakaya Kikwete akiwa ameshikilia mwenge wa uhuru mara baada ya kuupokea rasmi kutoka kwa kikosi cha wakimbiza mwenge.
Rais Kikwete akipokea mwenge wa uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio hizo mwaka huu
Viongozi wa wataopandisha mwenge wa Uhuru mlima kilimanjaro
Kikosi cha wataopandisha mwenge wa uhuru mlima kilimanjaro
Mama Maria Nyerere na Mama Salma Kikwete na wageni wengine mashuhuri jukwaa kuu.
Sehemu ya umati

Wednesday, November 30, 2011

UBWA SALUMU AJIFUA KUMKABILI MUSTAFA DOTO DESEMBA 25


Bondia Ubwa Salum (kushoto) na Omari Bayi wakioneshana umwamba wa kutupa masubwi wakati wa Mazoezi ya Kambi ya Ilala Dar es salaam jana Ubwa anajiandaa na mpambano wake na Mustafa Doto Desemba 25 mwaka huu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com