Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Congo,Fally Ipupa akiwa ameongozana na wenyeji wake wakati alipowasili jijini mchana wa leo tayari kwa shoo moja ya Usiku wa Mwafrika mahsusi kwa Wadau wa Club E itakayofanyika usiku wa leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.
POLISI KIBAHA WAKAGUA UBORA WA NYAMA LOLIONDO
-
*Kibaha, Pwani *
Daktari wa mifugo Ally Hamisi Machine, akiwa anafanya ukaguzi wa mbuzi
waliochinjwa katika mnada wa Loliondo uliopo Wilayani Kibaha Mkoa...
5 hours ago
No comments :
Post a Comment