MENEJA WA BIA YA CASTLE LITE AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TBF LEO

Na Michael Machellah
MENEJA wa Bia ya Castale Lite, Pamela Kikuli leo amekabidhi vifaa vya michezo kwa Katibu Mkuu Msaidizi wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania,Michael Maluwe vyenye thamani ya Shs.Millioni 5.6 ambavyo ni Tshirt kwa wachezaji wa timu zote,Tshirt 350 kwa ajili ya mashindano ya Castal Lite Basketball Taifa Cup na baadae watawakabidhi tena 350 wakati wa kufunga mashindano hayo.
Katibu Mkuu Msaidizi Michael Maluwe alishukuru msaada huo na kuyaomba makampuni mengine yaige mfano wa Kampuni yaTBL kupitia Bia ya Castal Lite walivyofanya kudhamini mashindano hayo kwa kiasi kisichopungua Millioni 28.
No comments :
Post a Comment