Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, February 26, 2011

MABONDIA KUPANDA ULINGONI KESHO KATIKA MASHINDANO YA KLABU BINGWA

Dkt. wa Mashindano ya Taifa ya Ngumi, Joseph Magesa akimpima bondia wa Mkoa wa Ilala Jackson Mbwago kabla ya mapambano yao yanayoanza Dar es salaam lea katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa

MABONDIA WA MKOA WA ILALA WAFANYA MAZOEZI YA MWISHO

Mabondia wa Timu ya Mkoa wa Ilala wakijifua mara ya mwisho kabla ya mashindano ya klabu bingwa yanayoanza kesho kushoto ni Dogomusa Mohamedi na Omary Bay
Shomari Swalehe na Pazi Mvula wakichuana katika mazoezi

Mwakalebela Aachiwa Huru..........

Frederick Mwakalebela (kushoto) akitoka mahakamani leo baada ya kuachiwa huru na mahakama ya hakimu mkazi Iringa chini ya hakimu wake Mheshimiwa Festo Lwila katika kesi yake ya rushwa ya uchaguzi iliyokuwa ikimkabili.

Thursday, February 24, 2011

WAKAZI WA KOTA ZA BANDARI WAMTAKA MKUCHIKA KUKANUSHA KAULI YAKE

WAKAZI wa Gerezani wamemtaka Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw.George Mkuchika kuwaomba radhi ndani ya siku saba wakazi hao kwa kauli ya kuwataka wahame haraka iwezekanavyo wakati kesi yao ipo Mahakamani.

Wakizungumza na Waandishi wa Habari leo wakazi hao wamesema kuwa, kitendo cha waziri Mkuchika kutamka kauli hiyo kinaonyesha jinsi gani anavyoingilia uhuru wa Mahakama na kuiweka demokrasia pembeni.

Mwenyekiti wa kamati ya wakazi hao,Bi.Fatma Msindi amesema kuwa, kauli ya waziri huyo kusema kuwa waondoke wenyewe kwakuwa Serikali imeshinda kesi ni cha kuwadanganya wananchi na kuingilia uhuru wa Mahakama.

Alisema kuwa, taarifa hiyo si sahihi kwakuwa kesi ya msingi namba 213 ipo Mahakama Kuu kitendo cha Ardhi Kanda ya Dar es Salaam.

Aliongeza kuwa, zuio la Mahakama liliwekwa Agosti 20 mwaka jana liendelee mpaka shauri litakapoanza kusikilizwa na kesi hiyo itatajwa tena Machi 3, mwaka huu ambapo tarehe hiyo ilipangwa mbele ya mwanasheria wa serikali na mwanasheria wa TBA.

Alisema kuwa kama Bw. Mkuchika hatawaomba radhi watamwagiza mwanasheria wao kuiomba Mahakama Kuu kumfungulia mashtaka ya kuidharau mahakama.

" Sisi tunashindwa kumuelewa Bw.Mkuchika kwakuwa kama anafahamu kuwa, kesi ipo Mahakamani na inaendelea amethubutu vipi kutangaza kuwa wameshinda kesi hiyo na tunatakiwa kuondoka wenyewe haraka iwezekanavyo,tunaomba atuombe radhi haraka iwezekanavyo,"alisema Bi.Msindi.

Aliongeza kuwa, wanashangaa mradi wa mabasi yaendayo kasi (DART) kung'ang'aniwa kuwekwa katika eneo hilo la ekari tano walilouziwa na serikali kihalali wakati yapo maeneo mengi ambayo yangefaa kutumika kwenye mradi huo.

Bi.Msindi alisema kuwa waliwahi kuishauri serikali kuwa, kama mradi huo unahitajika sana kuwepo eneo hilo basi wao pia wana kampuni yao ya Kibasila ambayo ina mradi hivyo vyote viende sambamba.

" Sisi tuna mradi wa ujenzi wa maghorofa yatakayogharimu bilioni 60 ambapo kila mkazi atanufaika na gawio la sh.milioni 63 kwa mwaka na tumepata tayari wafadhili sasa iweje wakatae kuungana nasi na watutake sisi tuondoke kama siyo wana mpango wa kujinufaisha wao wenyewe,"alisema mwenyekiti huyo.

Aliwataka wakazi hao kuendelea kutetea haki zao na kusimama kidete ili kuhakikisha wanapata haki zao na haidhurumiwi na watu wachache kwakuwa serikali ndiyo iliyowashawishi wao kununua nyumba hizo na si wao.

Kwa upande wake, Mwanasheria wa wakazi hao, Dk.Sengondo Mvungi alisema kuwa, mkataba wa manunuzi wa nyumba hizo kwa wakazi na serikali ulikuwa sahihi na haukuwa na shaka yoyote.

Alisema kuwa, kutokana na mkataba huo wakazi wa eneo hilo wana haki kisheria kumiliki ardhi hiyo hivyo ni jitihada zao kuhakikisha kuwa wanasimamia sheria na hawayumbishwi na mtu yoyote.

Alisema kuwa, wakazi 106 ambapo 76 hawajalipwa fidia yoyote na 30 walichukua fidia zao hivyo Serikali ina wajibu wa kutambua kuwa iliwauzia kihalali wakazi hawa na madai yao ni ya msingi.

Aliongeza kuwa anashindwa kutambua kama waziri huyo analielewa fika suala hilo kwakuwa kwa akili zake timamu asingeweza kutamka amri hiyo wakati akifahamu kuwa kesi ipo Mahakamani.

" Huu si utawala bora nadhani waziri Mkuchika kwa hili amekurupuka na anatakiwa kutuomba radhi sisi wakazi na ahakikishe kesi yetu inakwenda kama ilivyopangwa vingine atakuwa anamuingilia jaji kazi yake,"alisema Dkt.Mvungi.

Jana Waziri Mkuchika alikakaria na baadhi ya vyombo vya habari vya TBC na Habari Leo la leo , akiwataka wakazi wa eneo hilo kuondoka wenyewe kwakuwa serikali imeshinda kesi wakati kesi hiyo inadaiwa kuwa bado inaendelea Mahakamani.

BANK YA AZANIA YAZINDUA TAWI ARUSHA

Na Mwandishi wetu
BENKI ya Azania imeweza kutoa mikopo yenye thamani ya zaidi sh. bil 100/= kwa

wajasiriamali wadogo nchini hadi ilipofikia Desemba mwaka jana.

MkurugenzI Mtendaji wa Benki hiyo Charles Singili aliyasema hayo juzi katika
hafla ya ufunguzi wa tawi jipya la Mbauda la benki hiyo lililopo mkoani Arusha.

Singili alisema benki hiyo imekuwa na mafanikio makubwa kiutendaji na kwamba
mafanikio hayo yamewawezesha kufanikiwa kumudu changamoto za huduma za kibenki
nchini.

Alisema pamoja na huduma nyingine benki hiyo imekuwa mhimili mkubwa katika
kuinua uchumi wa Tanzania kwa kuhakikisha inaboresha hali za maisha ya
watanzania kwa kutoa mikopo yenye masharti nafuu kwa wajasiriamali katika nyanja

tofauti.
“Tunapaswa kujipongeza wenyewe lakini pia kuwapongeza wale wanaotuunga mkono
kwani tumekuwa na mafanikio makubwa yaliyotuwezesha kutoa mikopo ya thamani ya
zaidi ya sh. bil 100/= mpaka ilipofika mwishoni mwa mwaka jana,”alisema Singili.

Aliongeza kuwa pamoja na hilo wameweza kuimarika kwa kuongeza mtaji wa benki
ambapo ilipoanzishwa mwaka 2000 walikuwa na mtaji wa thamani ya sh. mil 700/=
lakini mpaka sasa wamefanikiwa kufikisha mtaji wa thamani ya sh. bil 18/=.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi wa benki hiyo William Erio alisema benki hiyo

imekuwa na mikakati endelevu kuhakikisha inaendelea kujiimarisha ambapo
aliwataka wadau wa benki hiyo kudumisha umoja wa kazi uliopo.

Alisema wataendelea kujitahidi kuhakikisha utendaji wa benki hiyo unakwenda
sanjari na mahitaji ya jamiii ya kitanzania katika kukabiliana na changamotio za

kiuchumi na kupunguza umasikini miongoni mwa watanznaia.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Arusha Isidori Shirima aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla
hiyo akimwakilisha Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo aliipongeza benki hiyo kwa
mafanikio waliyofikia na kwamba wayachukue mafanikio hayo kama changamoto ya
kuendelea kujiimarisha.

Alisema serikali imekuwa ikiwategemea wadau tofauti wa maendeleo katika
kujikwamua kiuchumi na kwamba sekta ya kibenki ni miongoni mwa wadau hao hivyo
benki ya Azania haina budi kujizatiti katika kuhakikisha inaendelea kukua.

Mwisho. Mawazo Waziri
Media Relations Manager
Capital Plus International (CPI)
Phone: 022 2125431
Cell: +255 715 027 892
+255 754 027 892
+255 684 000 645

THE JOHN MASHAKA YAANDAA CHAKULA KWA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO

Katibu wa taasisi ya John Mashaka Bi, Rabia Bakari akiwahudumia Wanafunzi wa Shule ya Mtoni Maalumu chakula cha mchana walichoandaa kwa ajili ya wanafunzi hawo Dar es salaam

WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI WATEMBELEA KAMPUNI YA ZANTEL

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki Kamati inayoshughulikia Biashara na Uwekezaji wakiwa Makao Makuu ya Kampuni ya Simu ya Zantel kujua jinsi inavyofanya shughuli zake Dar es salaam

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Zantel Zanzibar Bw. Nahaat Mahfoudh akizungumza wakati wa Kamati ya Bunge la Afrika Mashariki linaloshughulikia Biashara na Uwekezaji walipotembelea makao Makuu ya Kampuni hiyo Dar es salaam jana kujua shughuli mbalimbali za Kampuni hiyo

WAFANYAKAZI WA BENK YA EXIM WACHANGIA DAMU GONGO LA MBOTO

Muhuguzi toka Mpango wa Taifa Damu Salama Bi.Selina Sahani akimtoa Damu Ofisa wa benk ya Exim Bw.Solomoni Zabloni leo wakati wa kuchangia damu kwa wathilika wa mabomu Gongola mboto leo
Baadhi ya Maofisawakiangalia fomu kabla ya kupimwa na kuchukuliwa damu

Ofisa wa Exim bank Bi, Veronika Mtoi akiwa tayali kwa kutolewa damu

Maofisa wa BANK wakisubili kutoa damu

wafanyakazi wa kitemgo cha Damu Salama wakimuhudumia mtoa Damu

wakipimwa presha kabla ya kutoa damu

tunasubili kuchangia Damu

Marketing Executive Bw. Oscar Ruhasha akiwaelekeza utalatibu utakavyokuwa kabla awajanza kutoa Damu

Maofisa wa bank Eximu wakitoa Damu