Picha
ya pamoja Washiriki wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi
(Administration and Management) iliyohusisha wadau mbalimbali wa soka la
Tanzania wakiwamo Makatibu wa Vyama vya Soka na Uongozi wa TFF. Kozi
hiyo inafanyika kwenye Ukumbi wa Msimbazi Centre Jijini Dar es Salaam
kuanzia Agosti 6 hadi 11, 2012. Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ndio
mdhamini wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na klabu za kongwe za Simba na
Yanga.
NITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA WAWEKEZAJI:RC NYONGO
-
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo, amesema ataendelea
kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji ili kukuza uwekezaji na uchumi wa
Mkoa wa...
2 weeks ago

No comments :
Post a Comment