| Gari ya Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/ unaongozwa na mwenyekiti Spear Patrick unatarajia kuzindua hivi karibuni Gari la mtandao huo ambao litakuwa na matangazo mbalimbali ya kazi za kampuni hiyoo |
| GARI HIYO INAVYO ONEKANA KWA NYUMA |
| Mwenyekiti wa Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/ Spear Patrick akionesha moja ya upande uliokua na matangazo hayo |
| Mafundi wakiendelea kuiremba gari hiyo |
| Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/ |
| Mwenyekiti wa Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/ Spear Patrickakiwa amepozi |
| MKOKO WA Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/ |
No comments :
Post a Comment