Mchezaji wa mchezo wa Keram Rajabu Kudura wa pili kulia
akijaribu kurenga kete wakati wa mchezo wake na Yahaya Abdalah mchezo
uliofanyika katika klabu ya Mti pesa kwa wachoraji buguruni Malapa Dar
es salaam jana Picha na www.burudan.blogspot.com
MIMEA VAMIZI NI TISHIO KWA IKOLOJIA YA HIFADHI ZETU, BALOZI POLEPOLE
-
Balozi wa Tanzania nchini Cuba Mhe. Humprey Polepole amesema uwepo wa mimea
vamizi katika maeneo yaliyohifadhiwa inaathiri na kubadilisha ikolojia ya
mae...
1 day ago
No comments :
Post a Comment