WAZIRI WA UCHUKUZI DK.HARRISON MWAKYEMBE AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA)
Waziri
wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akisaini kitabu cha wageni wakati
alipofanya ziara ya kikazi katika Makao Makuu ya Ofisi ya Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) jijini Dar es Salaam, kwa lengo la
kuongea na wafanyakazi na kuzindua bodi ya Wakurugenzi ya TCAA.Wapili
kutoka kulia ni Mwenyekiti wa bodi hiyo Mbwana Mbwana.Kulia ni makamu
Mwenyekiti Weggoro Nyamajeje na Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya TCAA ,Charles Chacha. Waziri Dk. Harrison Mwakyemba ndiyo
waziri pekee aliyetembelea ofisi hizo tangua kuanzishwa.
Waziri
wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe (kulia)akimsikiliza kwa makini
Mkurugenzi wa Ndege wa Mamlaka Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Nuis
Kasambala alivyokuwa akimuelezea na kumuonyesha jinsi wanavyofanya
mitihani kwa wanafunzi wa ndege wakati alipofanya ziara ya kikazi
Makao Makuu ya Ofisi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania
(TCAA)jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kuongea na wafanyakazi na
kuzindua bodi ya Wakurugenzi ya TCAA. Waliosimama nyuma ni Kamati ya
bodi ya Mamlaka hiyo wakifuatilia kwa makini.
Waziri
wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe (kulia)akisisitiza jambo kwa
Mkurugenzi wa Ndege wa Mamlaka Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Nuis
Kasambala alivyokuwa akimuelezea na kumuonyesha jinsi wanavyofanya
mitihani kwa wanafunzi wa ndege wakati alipofanya ziara ya kikazi
Makao Makuu ya Ofisi ya Mamaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)jijini
Dar es Salaam, kwa lengo la kuongea na wanafanyakazi na kuzindua bodi
ya Wakurugenzi ya TCAA. Waliosimama nyuma ni Kamati ya bodi ya Mamlaka
hiyo wakifuatilia kwa makini
Waziri
wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe (kulia) akikabidhiwa na Kaimu
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha
moja ya tuzo waliyotunukiwa Tanzania na Baraza la Usafiri wa Anga
Duniani kwa kutambua mchango wa TCAA.anayeshuhudia katikati ni Makamu
Mweneyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo Weggoro Nyamajeje,
wakati alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Ofisi ya Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)jijini Dar es Salaam, kwa lengo la
kuongea na wafanyakazi na kuzindua bodi ya Wakurugenzi ya TCAA.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Mbwana Mbwana
akitoa shukrani kwa niaba ya bodi na wafanyakazi wa Mamlaka hiyo kwa
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe, (wapilia kutoka
kulia)wakati alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Ofisi ya
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)jijini Dar es Salaam, kwa
lengo la kuongea na wafanyakazi na kuzindua bodi ya Wakurugenzi ya
TCAA. Wengine ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi Weggoro Nyamajeje na Kaimu
Mkurugenzi wa TCAA ,Charles Chacha.
Waziri
wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe (katikati) akisisitiza jambo
wakati alipokuwa akijibu maswali ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri
wa Anga Tanzania (TCAA) wakati alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu
ya Ofisi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)jijini Dar es
Salaam, kwa lengo la kuongea na wafanyakazi na kuzindua bodi ya
Wakurugenzi ya TCAA. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka hiyo Mbwana
Mbwana, wengine ni Makamu Mwenyekiti Weggoro Nyamajeje na kushoto ni
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Charles Chacha.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga wakimsikiliza kwa makini
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati
alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Ofisi ya Mamlaka ya Usafiri
wa Anga Tanzania (TCAA)jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kuongea na
wafanyakazi na kuzindua bodi ya Wakurugenzi ya TCAA.
No comments :
Post a Comment