Kocha wa kimataifa wa mchezo wa
masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akimkabidhi vifaa
bondia Mussa Chitepete wa Songea vilivyotolewa na Super D kwa
kushilikiana na marafiki zake wa kwenye mtandao wengine kulia ni Kiliani
Shayo na Rajabu Mkamba ambaye ni mdau mkubwa wa kuhamasisha kusaidia
mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa
masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D katikati akionesha vifaa
alivyompatika Mussa Chitepete wa Songea kushoto kulia ni mdau wa Rajabu Mkamba ambaye ni mdau mkubwa wa kuhamasisha kusaidia mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimtambulisha bindia wa kike ambaye ndie bingwa wa wanawake kwa sasa Halima Ramadhani