![]() |
| aSKARI WA HOSPITALI YA tAIFA YA MUHIMBILI AKIMUEKA SAWA KOT ANAEDAIWA DAKITARI FEKI BAADA YA KUDAKWA LEOAL,IEJITAMBULISHA KWA JINA LA DISMAS MACHA |
![]() |
| DAKITARI FEKI AKIONYESHA MIPIRA YA KUVAA WAKATI WA KUMUHUDUMIA MGOJWAAMBAYO ALIKUTWA NAYO KWENYE BEGI LAKE |
![]() |
| DAKITARI FEKI AKIONYESHA NYARAKA ZA MBALIMBALI ZIZOTUMIKA WAKATI ANAPOTOA HUDUMA PAMOJA NA KARATASI ZA KUANDIKIWA MGONJWA BAADA KUMUONA DAKITARI |
![]() |
| ANAEDAIWA DAKITARI FEKI AKIONYESHA VITU VILIVYOKUTWA KATIKA BEGI LAKE WA OPILI KUSHOTO NI MKURUGENZI WA HOSPOTALI YA MOI AMBAKO ALIKOKAMATWA DAKITARI HUYO LEO |
![]() |
| MAAFISA WA USALAMA PAMOJA NA MADAKITARI WA MUHIMBILI WAKIMUHOJI DAKITARI FEKI |
![]() |
| MKURUGENZI WA HOSPITALI YA MOI DK OTHMAN AKIWAELEZA WANDISHI WA HABARI KUHUSU DAKITARI FEKI LEO |
![]() |
| DAKITARI FEKI AKIWA NA DAFTARI ALILOKUWA ANAPITA WODINI KUWACHANGISHA WAFANYAKAZI PESA KWANI MKE WAKE AMEFARIKI NCHINI INDIA ALIKOPELEKWA KUTIBIWA |
![]() |
| DAKITARI FEKI AKIWAONYESHA WANDISHI WA HABARI MOJA YA KITABU CHA MASWALA YA MAGONJWA YA AKINA MAMA AMBAYO DAKITARI HUYO ALIKUA ANADILI NAYO |
![]() |
| AKIWAELEZEA WANDISHI WA HABARI |
![]() |
| ASKARI WA USALAMA WAKIMSINDIKA DAKITARI FEKI KUMPELEKA KITUONI KWA UCHUNGUZI ZAIDI |
![]() |
| AKIWA CHINI YA ULINZI MKALI |
![]() |
| AKISUBIRI GARI |
![]() |
| AKIINGIZWA KWENYE GARI NA KUELEKEA KITUO CHA POLISI CHA SALANDA |
![]() |
| BAADHI YA WATU MBALIMBALI WALIOFIKA KUMUONA |
![]() |
| WALIOFIKA KUMUONA DAKITARI FEKI |















No comments :
Post a Comment