Kwa habari za kila siku Soma gazeti la Jambo Leo kupitia website www.jamboleo.co.tz
Utajipatia habari mbalimbali ambazo zimetokea nyumbani Tanzania na
matukio mengine duniani,gazeti la Jambo Leo linatolewa na kampuni ya
Jambo Concepts Tanzania Limited, inayochapisha Jarida la Jambo Brand
Tanzania, gazeti la michezo la kila wiki, Staa Spoti na gazeti la
matangazo la Dar Metro linalotoka kila baada ya wiki mbili.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment