Bondia Selemani Galile kulia akimshambulia kwa makonde bondia Ambokile Chusa wakati wa mpambano wao uliofanyika jana jumamosi katika ukumbi wa vigae Classic Mbagala Zakhem mpambano uhuo wa raundi sita ulimalizika kwa droo Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Mwinyi Muhina kulia akipambana
na Godfre Sadiq wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa
vigae classic mbagala zakhem Sadiq alishinda kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Karage Suba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Pius Kazaula wa Morogoro mpambano uliofanyika katika ukumbi wa Vigae Classic mbagaa zakhem Kazaula alishinda kwa T.K.O ya raundi ya pili baada ya Suba kusalimu amri kwa kunyoosha mikono juu Picha na SUPER D BOXING NEWS |

Bondia Ibrahimu Maokola kushoto
akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Joseph Sinkala wa Mbeya
wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa vigae Classic
Mbagala Zakhem Maokola alishinda kwa point mpambano uho Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Joseph Sinkala wa Mbeya
akipokea kipondo kutoka kwa Ibrahimu Maokola wakati wa mpambano wao
uliofanyika katika ukumbi wa Vigae Classic Mbagala Zakhem Maokola alishinda kwa pointPicha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Joseph Sinkala wa Mbeya wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa vigae Classic Mbagala Zakhem Maokola alishinda kwa point mpambano uho Picha na SUPER D BOXING NEWS |
No comments :
Post a Comment