Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, June 16, 2013

KAMPUNI YA STEPS YANOGESHA TUZO ZA BONGO MOVIE



Mkurugenzi wa Kampuni ya Steps, Diresh Solanki akimpa tuzo msanii bora wa kiume katika tasnia ya filamu nchini Jacob Stevin JB wakati wa utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika usiku wa kuamkia leo na kuhudguliwa na wasanii wengi nchini hii ni kwa mara ya kwanza steps inaandaa tuzo hizi zitakazokuwa zikitolewa kila mwaka.Picha na www.burudan.blogspot.com
Pazia ra Tuzo za Steps Bongo Movie Awards ukiwa umefunguliwa na waziri wa Sayansi na Teknolojia Makame Mbawala

Mzee Majuto akipokea Tuzo ya msanii bora wa uchekeshaji


Msanii Stiv Nyerere akipokea Tuzo

Msanii Nice Mohamedi 'Mtunis' akipokea tuzo ya Mwaka 2012 zilizoandaliwa kwa mara ya kwanza na kampuni ya Steps Entatainment tuzo hizi zitakazokuwa zikitolewa kila mwaka.Picha na www.burudan.blogspot.com

MAMA SHILOLE AKIWA JUKWAANI

Mtoto Jenifa akichukua tuzo yake

Add caption

Msanii Niva akichukua TUZO ya msanii bora Chipkizi kulia yupo msanii mwenzake Rado

Photo: Mjumbe wa Kamati ya saidia Taifa Stars Ishinde, Ridhiwani Kikwete kushoto akimkabidhi tuzo Haji Adamu kwa niaba ya Jimmy Mponda aliyeshinda msanii bora wa Filamu za Mapigano wakati wa utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika kwa mara ya kwanza nchini na kuandalia na kampuni ya Steps Picha na www.burudan.blogspot.com
Mjumbe wa Kamati ya saidia Taifa Stars Ishinde, Ridhiwani Kikwete kushoto akimkabidhi tuzo Haji Adamu kwa niaba ya Jimmy Mponda aliyeshinda msanii bora wa Filamu za Mapigano wakati wa utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika kwa mara ya kwanza nchini na kuandalia na kampuni ya Steps Picha na www.burudan.blogspot.com

Mjumbe wa Kamati ya saidia Taifa Stars Ishinde, Ridhiwani Kikwete wa tatu kushoto akiwapongeza baadhi ya wasanii wa marehemu Kanumba baada ya kuwakabizi tuzo





Mkurugenzi wa Kampuni ya Steps Dilesh Solanki akimkabizi tuzo ya mwongozaji bora wa filamu nchini kwa mwaka 2012 Vicent Kigosi 'Ray ' wakati wa utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika usiku wa kuamkia leo na kuhudguliwa na wasanii wengi nchini hii ni kwa mara ya kwanza steps inaandaa tuzo hizi zitakazokuwa zikitolewa kila mwaka.Picha na www.burudan.blogspot.com

Mkurugenzi wa Kampuni ya Steps Dilesh Solanki akifafanua jambo baada ya kumkabizi tuzo Vicent Kigos 'Ray' ya mwogozaji bora wa filamu nchini kwa mwaka 2012 wakati wa utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika usiku wa kuamkia leo na kuhudguliwa na wasanii wengi nchini hii ni kwa mara ya kwanza steps inaandaa tuzo hizi zitakazokuwa zikitolewa kila mwaka.Picha na www.burudan.blogspot.com

Wafanyakazi wa Kampuni ya Steps wakipokea tuzo

Baazi ya wasanii wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabiziwa tuzo zao za kwanza kwa mwaka 2012 zilizozaminiwa na kampuni ya steps Picha na www.burudan.blogspot.com

MPIGA PICHA mOHAMED aralakia  ZA KAVA MBALIMBALI ZA KAMPUNI YA STEPS AKIPOKEA TUZO

:KAMPUNI ya Usambazaji wa filamu ya Steps Entatainment ya jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita ilitoa tuzo kwa wasanii bora waliofanya vizuri katika tasnia ya filamu nchini kwa mwaka 2012 ikiwa ni kwa mara ya kwanza kuanzishwa kwa tuzo hizo

Akizungumzia tuzo hizo Mkurugenzi wa Kampunu hiyo Direshi Solanki amesema kuwa tuzo hizo watakuwa wakizitoa kila mwaka kwa kuleta maendeleo ya filamu nchini kampuni hiyo iliyojikita katika kusambaza filamu za wasanii wameweka historia ya kuigwa kutokana na kuanzisha tuzo hizo

Baadhi ya washindi ambao walipatikana katika tuzo hizo wa kwanza ni Stevin Mangendela 'Stive Nyerere', Issa Mussa 'Cloud 112' Mohamed Nurdini 'Chek budi' Nice Mohamed 'Mtunisi' Iren Paul akinyakuwa msanii bora chipkizi wa kike

Wakati katika kinyanganyiro cha kumpata msanii bora wa kiume alinyakuwa Jacob Stevin 'JB' huku msanii bora wa kike ikienda kwa mwana dada Iren Uwoya

na msanii bora wa filamu za mapingano ilikwenda moja kwa moja kwa Jimmy Mponda 'Jimmy Masta'

Wakati katika kipengere cha muhongozaji bora wa filamu kilikwenda kwa vicent Kigosi' Ray' na kampuni yake ya RJ Filamu

mbali na hivyo kulikuwa na tuzo za heshima kwa wasanii waliofanya vizuri rakini kwa sasa awapo duniani moja ni kwa Stevin Kanumba,Saidi Kilowoko 'Sajuki' John Stefano,
Hussein Ramadhani Mkiety,'Sharo Milionea'

Katika utoaji wa tuzo huzo kulikua na burudani nyingi zikiongozwa na Odama Bendi

LUNYAMILA, MKANDAWILE, NEMES, MWALALA, NSAJIGWA, MATOLA WAHUDHURIA KOZI YA UKOCHA


Mkufunzi wa TFF Rogasian Kaijage akiwapa maelekezo.
Lunyamila akionyesha 'DEMO'
Shadrack Nsajigwa,Selemani Matola na Mohammed Hussein 'Chinga' wakimsikiliza kwa makini mkufunzi Rogasian Kaijage.
Meneja wa Azam FC Jemedari Said pia naye yupo.
Seleman Matola mwenye jezi nyekundu,katikati ni kiungo wa zamani wa Yanga Ngade Chabanga pamoja Steven Nyenge wakiwa kwenye mafunzo ya vitendo..
Ibrahim Masoud 'Maestro' pia yupo...
Makipa wa zamani Steven Nemes,Moses Mkandawile,Shadrack Nsajigwa na Benard Mwalala.
Mshambuliaji wa zamani wa Simba Bakary Idd,Mimi mwenyewe,Matola na Mwalala.
Majina ya wanaohudhuria kozi ya ngazi ya kati (intermediate) inayofundishwa na mkufunzi Rogasian Kaijage kwenye viwanja vya Harbours Club, Kurasini.
1. Abdallah K. Mohamed
2. Abdulmalick Nemes
3. Adam Juma
4. Akida Said
5. Ally Yusuph
6. Athuman Kipao
7. Bakari Idd
8. Barton Msengi
9. Bernard Mwalala
10. Chaurembo Shomari
11. Chiwanga A. Chiwanga
12. Daniel Stephen
13. David Wiliam
14. Edgar Katembo
15. Edibily Lunyamila
16. Emanuel Gabriel
17. Fredrick Mwasombola
18. Grayson Swai
19. Hassan Msonzo
20. Herry Allen
21. Herry Kaiza
22. Ibrahim Masoud
23. Iddy Abubakari
24. James Changarawe
25. Jemaderi Said
26. Jeremia Dickson
27. Kassango Pascal
28. Medard Rwezaura
29. Mohamed Hussein
30. Moses Mkandawile
31. Mtweve Abel
32. Muhibu Kanu
33. Mwanamtwa Kihwelo
34. Nevelin Kanza
35. Ngade Chabanga
36. Omari Ally
37. Omari Kafufi
38. Omari Mbarouk
39. Omary Mohamed
40. Omega Ruzwiro
41. Rahel Pallangyo
42. Rajab Mohamed
43. Ramadhan Juma
44. Renatus Bernard
45. Richard Mbuya
46. Samwel Moja
47. Seleman Matola
48. Shadrack Nsajigwa
49. Shaffih Dauda
50. Shiza Mapunda
51. Steve Nyenge
52. Wambura Gaspar
53. Zubery Katwila
54. Zulkifri Iddi
55. Zulu Tosiri

Kwa hisani ya : pallangyor.blogspot.com

Saturday, June 15, 2013

KING CLASS MAWE VS BAUNSA WATUNISHIANA MISURI




Bondia Parick Kavako 'Baunsa' wa Morogogo kushoto akitunishiana misuri na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito Dar es salaam leo kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katikas ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Mabondia Mariam Abdallah kushoto na Lulu Kayage wakiwa wamepozi kwa ajili ya picha za mpambano wao utakaofanyika jumapili ya june 16 katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala bungoni Dasr es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Patrick Kavako 'Baunsa' wa morogoro kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe'  wakitunisha misuli mbele ya kamera baada ya kupima uzito wao kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili june 16  katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala Bungoni Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Mariam Abdallah kushoto na Lulu Kayage wakiwa wamepozi kwa ajili ya picha za mpambano wao utakaofanyika jumapili ya june 16 katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala bungoni Dasr es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

ALEX MSAMA ATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA YATIMA DAR



 Alex Msama akikabidhi hundi yenye thamani ya sh. milioni 1.2 kwa ajili ya kulipia ada ya wanafunzi walioshindwa kwenda shule kwa ajili ya kudaiwa ada.
 Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kukabidhi vitu mbalimbali kwa ajili ya kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwendaliwa. 
 Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akikabidhi magodoro kwa mlezi wa kituo hicho.
 Watoto wa Kituo cha Mwendalewa kilichopo Boko wakipokea msaada wa vifaa mbalimbali kwa ajili kituo hicho kutoka kwa Mwenyyekiti wa Tamasha la pasaka Alex Msama. 
 Sehemu ya msaada uliotolewa na Msama Promosheni.
 Mlezi wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa, Halima Ramadhani akitoa shukrani kwa msaada aliopata kutoka kwa Kampuni ya Msama Prpmosheni, kwa ajili ya kituo hicho.

WAFANYAKAZI WA BARCLAYS WAWAFARIJI WATOTO WALIOLAZWA-MUHIMBILI



 Wafanyakazi wa Benki ya Barclays wakitoa msaada wa vitu ,mbalimbali katika wodi ya watoto Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, vikiwemo sabuni, vyandaru, miswaki, vinywaji baridi pamoja na dawa za meno, vitu hivyo vimetokana na michango ya wafanyakazi wanawake wa benki hiyo.
 Mwanasheria wa Benki ya Barclays, Farija Ghilas akimkabidhi sehemu ya msaada waliotoa kwa watoto waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam, Sakina Hassani. Vitu hivyo vimetokana na michango ya wafanyakazi wanawake wanaofanyakazi katika benki hivyo. 
 Rahma Said mkazi wa Manzese jijini Dar es Salaam akipokea sehemu ya msaada uliotolewa na wafanyakazi wanawake wa benki ya Barclays wakati walipofika kuwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika wodi ya watoto katika hospitali ta Taifa Muhimbili. Vitu vilivyokabidhiwa leo ni pamoja na sabuni, vyandaru, miswaki, vinywaji baridi pamoja na dawa za meno, vitu hivyo vimetokana na michango ya wafanyakazi wanawake wa benki hiyo.
 Mwanasheria wa Benki ya Barclays, Farija Ghilas akimkabidhi sehemu ya msaada waliotoa kwa watoto waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam jana, Sakina Hassani. Vitu vimetokana na michango ya wafanyakazi wanawake wanaofanyakazi katika benki hivyo. 
Ahsante kwa zawadi.
 Poa zawadi ya mafuta mama.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Barclays, Neema Sengo akizungumza na waandishi wa habari baada kutembelea wodi ya watoto katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam na kwafariji watoto walolazwa katika wodi hiyo na kuwabidhi vitu mbalimbali vikiwemo sabuni, miswaki, vyandarua, mafuta, pamoja na vinywaji baridi kwa watoto waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam,