Tuesday, December 27, 2011
TIGO YAWAZAWADIA WASHINDI WA PROMOSHENI YA 'ZAMU YAKO KUSHINDA'
Monday, December 26, 2011
MANENO OSWARD VS RASHIDI MATUMLA AKUNA MBABE POINT 99 KWA 99 DROO
Bondia Rashidi Matumla (kushoto) na Maneno Osward wakioneshana ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.(Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/
Bondia Rashidi Matumla (kushoto) na Maneno Osward wakioneshana ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.(Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/
Bondia Rashidi Matumla (kushoto) na Maneno Osward wakioneshana ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.(Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/
Bondia Maneno Osward (kushoto) akimuacha Rashidi Matumla chini baada ya kuanguka kwa kuteleza wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.(Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/)
WAKAZI WA KARIAKOO ZILIZOKUA KOTA ZA BANDARI WAPINGA KUHAMISHWA WALA KUVUNJIWA NYUMBA ZAO
Na Mwandishi Wetu
WAKAZI wa Kariakoo Kota za Bandari kata ya Gerezani wameitaka serikali kutowahamisha wala kuwavunjia nyumba zao hadi hapo kesi yao iliyopo mahakama kuu kitengo cha Ardhi itakapo kamilika.
Hayo yalisemwa leo jijini Dar es Salaam na mwenyekiti wa mtaa huo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari kuwa nyumba hizo walinunua kutoka serikali na kupewa mkataba.
Alisema eneo hilo linataka kuchukuliwa na serikali ili kujenga kituo cha mabasi yaendayo kasi bila ya kujali kuwa nyumba hizo waliuziwa ambapo serikali iliingia mkataba na mtu mmoja mmoja.
"Tumesikia fununu kuwa serikali inataka kuja kuvunja nyumba zetu kinguvu ikiwa kesi bado ipo mahakamani",alisema
Kwa upande wake katibu mwenezi wa siasa wa chama cha Mapinduzi Bw.Akida Hafidhi alisema serikali ilifanya makosa kuingia katika eneo hilo ikiwa inajua kabisa kuna mgogoro na kuongeza kuwa wanaomba haki iweze kutendeka kwa kuiachia mahakama kutoa maamuzi kama katiba inavyoelekeza.
Alisema serikali inatakiwa kutambua kuwa wakazi wa eneo hilo wanamiliki nyumba hizo kimkataba na hakuna mtu aliyevunja mkataba huo ambapo walinunua kutoka kwao.
Hata hivyo walisema watashangazwa endapo watasikia kuwa kuna mtu anaingilia uhuru wa mahakama ikiwa ibara ya 4(1) na 107(a) ya katiba ya Tanzania inaeleza wazi kuwa chombo cha mwisho chenye mamlaka ya kutekeleza utoaji haki ni mahakama ya Tanzania.
"Tumesema hivyo kwa sababu tulisikia baadhi ya watendaji serikalini walisema tulienda mahakamani kimakosa huku wakijua dhahili kuwa ni mahala ambapo haki inapatika",walisema
Walisema wanamuomba Rais Jakaya Kiwete asije akadanganywa kwa hilo kuwa kuna makubaliano yaliofanyika huku wakisisitiza kuwa kesi iliyopo ni kuvunjwa kwa mkataba na sio madai ya fidia kama ambavyo baadhi wa watendaji walivyopeleka taarifa serikalini.
WAKAZI WA KOTA ZA BANDARI WAJADILI KESSY YAO
JAHAZI MOLDEN TAARAB YATIMIZA MIAKA 5 NA KUZINDUA ALBAM YAKE YA MPENZI CHOCOLATE USIKU WA KUAMKIA LEO DIAMOND
Hassan Yahya Mwinyi Katibu Mkuu wa kundi la Taarab la Safari Malindi kulia akimpongeza Khamis Koha Mkurugenzi Msaidizi wa kundi la Muziki wa Taarab la Jahazi, baada ya kuzindua rasmi albam yao mpya ijulikanayo kama Mpenzi Chocolate na sherehe za miaka 5 ya kundi hilo zilizofanyika mkesha wa Krismasi usiku wa kuamkia leo, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee ikishuhudiwa na mashabiki lukuki wa muziki wa Taarab huku mtandao wako wa FULLSHANGWE ukiwa ni mmoja wa mashuhuda. Uzinduzi huo ulioambatana na Jahazi Molden Taarab kutimiza miaka 5 ilidhaminiwa na kinywaji cha Serengeti Lager kinachozaliswa na kampuni ya bia ya Serengeti (SBL)
Mwanamuziki Mzee Yusuf ambaye pia ni kiongozi wa kundi hilo akiingia ukumbini kwa staili ya aina yake huku akilakiwa na mashabiki wa muziki wa Taarab. MSONDO YAFUNIKA TCC CHANG'OMBE USIKU WA KUAMKIA LEO
Mwanamuziki chipukizi mtoto wa mwanamuziki wa zamani wa bendi ya Msondo TX Moshi William TX Moshi William Hassani Moshi, TX,Junior, akinyanyuliwa juu juu na mashabiki wa bendi hiyo wakati alipokuwa akiimba katika mpambano wa bendi za Msondo Band na DDC Mlimani Park Sikinde jana, kwenye viwanja vya TCC Sigara Chang'ombe jijini Dar es salaam.
Wanamuziki Shaban Dede na Hassani MoshiTX ,Junior wa Msondo wakiimba jukwaani huku mashabiki wakiwashangilia kwelikweli wakati wa onyesho hilo lililofanyika TCC Chang'ombe usiku wa kuamkia leo.
Kutoka kulia ni mwimbaji wa Bendi ya Sikinde Hassan Kunyata, Yusuph Bernald na Shaban Lendi wapiga Saxaphone wakifanya vitu vyao jukwaani.
Mwimbaji wa bendi ya Sikinde Othman Kambi akicheza sambamba na wanenguaji wa bendi hiyo wakati bendi hiyo ilipotupa karata yake ya mwisho usiku wa kuamkia leo.
Mpiga gitaa la solo wa bendi ya Msondo Said Mabela wa pili kutoka kushoto akila pozi kwa picha na wadau usiku wa kuamkia leo. Sunday, December 25, 2011
SWALEHE KITABU AMALIZA KUPIGA NONDO CHUO CHA IMTU
TANGAZO LA DAWA YENYE NGUVU

ALLY WA YANGA BOMBA UHURU NA MSIMBAZI 0787230551 AU 0652755838
,0652755838 UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM
BUGURUNI LOZANA STENDI YA TAX ULIZIA ADAMU KIBANDANI 0755875884
MWANANYAMALA FIKA JABA KLABU ULIZA MACHELLAH 0713470492
Saturday, December 24, 2011
RASHIDI MATUMLA NA MANENO OSWARD WAPIMA UZITO LEO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO KESHO
Mratibu wa pambano la Ngumi za kulipwa, Shabani Adios 'Mwayamwaya'
(katikati), akiinua mikono ya mabondia,Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo'
kushoto na Rashidi Matumla 'Snake Man', baada ya kupima uzito leo, kwa
ajili ya pambano lao, litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Helnken Mtoni
Kijichi, Dar es Salaam siku ya Xmasi. (Picha na
www.superdboxingcoach.
Mratibu wa pambano la Ngumi za kulipwa, Shabani Adios 'Mwayamwaya'
(katikati), akiwashuudia mabondia,Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo'
kushoto na Rashidi Matumla 'Snake Man', wakitunishiana misuli baada ya
kupima uzito leo, kwa ajili ya pambano lao, litakalofanyika kwenye
Ukumbi wa Helnken Mtoni KIjichi, Dar es Salaam siku ya Xmas. (Picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Friday, December 23, 2011
VENAS mPONJI NA CHAULEMBO PALASA KUONESHANA KAZI KESHO
EXTRA BONGO,MKESHA WA X-MASS NDANI YA MEEDA
MKURUGENZI wa Bendi ya Extra Bongo,Ally Chocky aahidi kufatoa burudani ya pekee katika Mkesha wa Chrismas,jumamosi katika Ukumbi wa Meeda jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari Chocky amesema katika shoo hiyo patakuwa na ushindani wa pekee kati ya wanamuziki na wacheza shoo ambapo Mkurugenzi mwenyewe,Ally Chocky atapanda jukwaani kuchuana na Mwalimu wa walimu,Banza Stone kwa kutoa shoo na baaada ya hapo watahamia kwa wacheza shoo wa kike ambapo Mkongwe wa Dance, Aisha Mbegu atachuana na Otilia Boniphace (Kandoro).
Murugenzi alisema, katika onyesho hilo la Mkesha wa Chrismass wataporomosha nyimbo mpya ambazo wanarekodi katika kipindi hiki pamoja na kukumbushia nyimbo zilizotamba enzi hizo kama Fadhira kwa wazazi ya Rogath hega Katapila,Mwaka wa tabu na zinginezo
Wapenzi na mashabiki wa Bendi ya Extra Bongo wajitokeze kwa wingi kushuhudia mambo mapya ya Bendi yao na pia kukaa pamoja katika kukaribidsha kuzaliwa kwa Yesu Kristo yaani Chrismas
Bendi hiyo jumapili itaendelea na shoo katika Ukumbi wa Magereza yaani sikukuu yenyewe na juma lijalo itarejea katika ratiba yake ya kawaida.
Thursday, December 22, 2011
TIGO YASAIDIA WALIOKUMBWA NA MAFURIKO DAR ES SALAAM LEO
Maofisa wa kampuni ya tigo wakisaidia kutoa mizogo kwa ajili wa waathilika
Ofisa Husiano wa Kampuni ya simu tigo, Alice Maro (kushoto) akimkabidhi sehemu ya msaada walioutoka kwa ajili ya wathilika wa mafuliko ya mvua kwa Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa katikati ni Meneja wa Kampuni hiyo Dar es Salaam na Zanzibar Bw. Alex Msigara
Ofisa Husiano wa Kampuni ya simu tigo, Alice Maro (kushoto) akimkabidhi sehemu ya msaada walioutoka kwa ajili ya wathilika wa mafuliko ya mvua kwa Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa katikati ni Meneja wa Kampuni hiyo Dar es Salaam na Zanzibar Bw. Alex Msigara
kulia ni Diwani wa Kata ya Upanga Magharibi Bw. Godwin Mmbaga






