Gari ya Abiria aina ya Isuzu Journey ikiteketea kwa moto mchana wa leo maeneo ya Buguruni Rozana jijini Dar es salaam. Chanzo cha moto huo hakikujulikana mara moja na hakuna aliejeruhiwa wala kupoteza maisha katika ajali hii ya moto.
CCM YAONYA WATEULE MIUNDOMBINU ZANZIBAR
-
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitamvumilia mteule yeyote wa Rais
wa Awamu ya Nane, Dkt. Hussein Ali Mwinyi wala taa...
21 hours ago
No comments :
Post a Comment