Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akionyesha kitabu kiitwacho Lighting Fire
kilichoandikwa na wanasayansi 31 Mabingwa wa Kitanzania baada ya
kukizindua kwenye ukumbi wa Tume ya taifa ya Sayansi na Tekinolojia,
Kijitonyama jijini Dar es salaam Agosti 2, 2012. Kushoto ni Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Makame Mbalawa na Kulia ni
Rais wa Tanzania Academy of Science (TAAS), Profesa Esther Mwaikambo.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Dodoma, Profesa, Idris Kikula baada ya kuzindua kitabu kiitwacho
Lighting fire kilichoandikwa na wanasayansi 31 mabingwa wa kitanzania,
kwenye ukumbi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Tekinoloji, Kijitonyama
jijini Dar es salaam Agosti 2, 2012. Kushoto ni Mkamu Mkuu wa Chuo Kikuu
Huria cha Tanzania, Profesa Tolly Mbwete
TMA IMETOA UTABIRI WA MVUA ZA VULI KWA KIPINDI CHA OKTOBA HADI DESEMBA 2026
-
Dar es Salaam.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wananchi na wadau
mbalimbali kujiandaa mapema kukabiliana na athari zinazoweza kujitokez...
22 hours ago
No comments :
Post a Comment