Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akimkabidhi bajaji mpya mlemavu wa miguu
ambaye ni mfanyakazi wa TANROADS Bi.Sarah Nalingigwa Nkumbo.
Makabidhiano hayo yalifanyika Ikulu mjini Dodoma leo asubuhi. Kulia ni
Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli.Wapili kushoto ni mke wa Rais Mama
Salma Kikwete na kushoto ni mkurugenzi Mkuu wa TANROADS Injinia Patrick
Mfugale. Bi. Sarah ambaye ni Mfanyakazi wa TANROADS mkoani Singida
alikabidhiwa Bajaji hiyo ikiwa ni ahadi ya Rais alipokuwa akifungua
Barabara ya Manyoni- Itigi Picha na Freddy Maro
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment