Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim
Mafuru (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar
es Salaam. Pamoja naye ni Meneja Masoko wa SBL, Allan Chonjo (wa pili
kushoto).
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Allan Chonjo (wa
pili kushoto) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es
Salaam Shamrashamra ya Uzinduzi wa promosheni ya Shinda safari kwenda
nchini Brazil,kupitia bia ya Serengeti Shamrashamra ya Uzinduzi wa promosheni ya Shinda safari kwenda nchini Brazil
Baadhi ya mabalozi wa Bia ya Serengeti wakionesha shoo kwa wananchi
baada ya uzinduzi wa Shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia bia ya
Serengeti Uzinduzi wa promosheni ya shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia bia ya Serengeti uliofanyika leo.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment