Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00
TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania
Wednesday, February 5, 2014
MAYWEATHER ATAKA MASHABIKI WAKE WAMCHAGULIE BONDIA WA KUPIGANA NAE.
BINGWA
wa dunia wa ngumi za uzito wa kati Floyd Mayweather amewataka mashabiki
wake kuamua kama pambano lake litakalofuata liwe dhidi ya Amir Khan au
Marcos Maidana. Khan ambaye ni raia wa Uingereza Desemba mwaka jana
alisaini mkataba ambao unamuweka katika nafasi ya kupigana na Mayweather
ambaye mpaka sasa hajawahi kupigwa na bondia yoyote. Khan mwenye umri
wa miaka 27 ameshinda mapambano 28 kati ya 31 aliyopigana wakati Maidana
ambaye ni raia wa Argentina yeye ameshinda mapambano 35 kati ya 38
aliyopigana. Mayweather
mwenye umri wa miaka 36 alituma ujumbe katika ukurasa wake wa mtandao
wa kijamii wa twitter akiwataka mashabiki wake kumchagulia bondia wa
kupigana naye katika pambano litakalofuata kati ya Khan au Maidana.Ni pigane na yupi kati ya Khan or Maidana??? Toa jibu kama wewe shabiki wake.... Justin Bieber na 50 Cent pamoja kwenye picha na Mayweather
TOP 10: 1) Floyd Mayweather 2) Manny Pacquiao 3) Andre Ward 4) Timothy Bradley 5) Wladimir Klitschko 6) Guillermo Rigondeaux 7) Adonis Stevenson 8) Sergio Martinez 9) Juan Manuel Marquez 10) Carl Froch
Kocha Kondo nassoro akimwelekeza bondia chipukizi Zainabu Mhamila (Ikota) huku nyuma akielekezwa jinsi ya kutembea na kocha Habibu Kinyogoli wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Dar es Salaam
DVD MPYA YA MASUMBWI YA BONDIA SAID MBWELWA
DVD MPYA YA BONDIA MTANZANIA SAID MBELWA AKICHEZA MAPAMBANO YAKE NJE YA NCHI KWA MAHITAJI FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI AU PIGA SIMU 0713406938
KAVA YA VIDEO YA SUPER D BOXING COACH
SUPER D BOXING COACH DVD MPYA
DVD MPYA ZA SUPER D BOXING COACH SASA ZIPO SOKONI
DVD MPYA ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MAITAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU
0787 0774 0754 4O6938 0713 0733 AU FIKA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO DAR ES SALAAM AU FIKA JENGO LA AZAM MSIMBAZI KARIBU NA POLISI POST GEREZANI p.o.box 15493 DAR Email.superdboxingcoach@gmail.com http://www.facebook.com/groups
DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU 0787/0774/0715/0754/0733/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI 0652755838
SPORTSVIEWS
Visitors
Viwanjani time
DAWA YA NGUVU
TANGAZO
DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA MSISIMKO KWA WANAWAKE WASIO NA HAMU YA TENDO LA NDOA AMBAYO HULETA MSISIMKO KWA WANAUME NA WAKE WAKUTANAPO.KWA SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU HAPA JIJINI DAR ES SALAAM MAKUTANO YA MTAA WA KIPATA NA BARABARA YA MSIMBAZI
No comments :
Post a Comment