http://degeecovillage.com/apartment-villas.php |
Baadhi ya wananchi waliofika kujionea huduma mbalimbali zitolewazo na Dege
Meneja Masoko na Mauzo Msaidizi Bw. Adam Jysab kushoto akiojiwa na waandishi wa habari kuhusu mji mpya wa DEGE ECO - VILLAGE
Ofisa Masoko wa Dege Eco Village Bi,
Jacky Norbert kushoto akiwaelekeza watu mbalimbali waliokuja kutembelea
mbanda lao jinsi ya kupata nyumba
BAADHI YA WATU WALIOFIKA KATIKA MAONESHO HAYO WAKIPATA MAHELEZO MBALIMBALI
No comments :
Post a Comment