Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's
Miss Tanzania 2014 leo wameingia siku ya pili ya kambi yao jijini Dar es
Salaam na baada ya semina asubuhi na mapumziko ya mchana jioni hii
wamefanya mazoezi katika chumba maalum cha mazoezi 'Gym', ungana na
mpigapicha wa Father Kidevu Blog katika picha mbalimbali za warembo hao
katika kambi yao.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment