Bondia Tomas Mashali kushoto akijifua wakati wa mazoezi ya kujiandaa
kupambana na Bondia Henry Wandera kutoka kenya novemba 1 katika ukumbi
wa frends corner manzese, akisimamiwa na Kocha
wa Mchezo wa Masumbwi kutoka Sweeden, Juma Ntuve (Picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Na Mwandishi Wetu
BON DIA Thomasi Mashali yupo katika
maandalizi mazito ya kumkabili bondia kutoka kenya Henry Wandera Novemba
mosi katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam
akizungumza wakati wa mazoezi yake
juzi Mashali amesema kuwa yupo fiti wakati wowote yeye kufanya kazi
hivyo aofii ata kiogo mpambano huo na kuwataka mashabiki wake waje waone
anavyo mgalagaza vibaya sana siku hiyo mkenya Wandera
mbali na mpambano huo siku hiyo
kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi yatakayo wakutanisha Mbayo
Ilunga na Fred Sayuni wakati Joseph Mbowe ataoneshana umwamba na Saidy
Salum na Ramadhani Johncena ataoneshana ubabe na Baina Mazola
na mipambano mingene mikali zaidi siku hiyo kutakuwa na michezo ya utangulizi zaidi ya nane yenye raundi sita sita
siku
hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha
mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua
mpaka
kujua kitu kamili katika
mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya
mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd
Maywether, Manny
Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani
No comments :
Post a Comment