Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira. Wa kwanza kulia ni Mh. James Lembeli Mwenyekiti wa Kamati hiyo.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Ummy Mwalimu (katikati) akiambatana
wajumbe wa Kamati katika ziara ya kukagua bwawa la kuhifadhia maji
katika mgodi wa Buzwagi.
Baadhi nyumba zitakazotumiwa na waganga na wauguzi wa kituo cha afya cha Mwendakulima pindi kituo hicho kitakapoanza kutumika
No comments :
Post a Comment