Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi wa Bendi ya Msondo
ngoma ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Viongozi hao walimtembelea
Rais Kikwete ikulu leo na kufanya naye mazungumzo(picha na Freddy Maro). Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya pamoja na viongozi wa Bendi
ya Msondo ngoma ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Viongozi hao
walimtembelea Rais Kikwete ikulu leo na kufanya naye mazungumzo(picha na
Freddy Maro).
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment