Mabondia Pius Kazaula na Idd Pialali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Afrika uzani wa KG 66 utakaofanyika katika ukumbi wa TASUBA Bagamoyo mpambano utakuwa wa raundi 12 utapigwa novemba 12 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Pius Kazaula wa morogoro kushoto na Idd Pialali wa Bagamoyo wakitoleana macho wakati wa kutangaza mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Afrika raundi 12 utakaofanyika november 12 katika ukumbi wa TASUBA Bagamoyo Mokoa wa Pwani Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Pius Kazaula kushoto na Idd Pialali wakiwa katika pozi la kutunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga novemba 12 mpambano wa ubingwa wa U.B.O Afrika utakaofanyika katika ukumbi wa Tasuba Bagamoyo Mkoa wa Pwani Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Pius Kazaula na Idd Pialali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Afrika uzani wa KG 66 utakaofanyika novemba 12 katika ukumbi wa TASUBA Bagamoyo mpambano utakuwa wa raundi 12 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
BONDIA ROJAS MASAM |
BONDIA EMILIO NORFAT |
BONDIA IDD PIALALI |
BONDIA PIUS KAZAULA |
Bondia Pius Kazaula wa Morogoro
kushoto akisaini mkataba wa kuzipiga novemba 12 na Idd Pialali kuwania
ubingwa wa U.B.O Afrika mpambano utakaopigwa kwa raundi 12 katikati ni
Katibu Mkuu wa P.S.T Anthony Rutagamba Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Idd Pialali wa Bagamoyo kulia akisaini mkataba
wa kuzipiga novemba 12 na Pius Kazaula wa Morogoro kuwania ubingwa wa U.B.O Afrika mpambano
utakaopigwa kwa raundi 12 katikati ni Katibu Mkuu wa P.S.T Anthony
Rutagamba Picha na SUPER D BOXING NEWSMABONDIA PIUS KAZAULA WA MOROGORO KUSHOTO NA IDD PIALALI WA BAGAMOYO WAKIPITIA MIKATABA YAO KABLA YA KUSAINI KUZIPIGA NOVEMBA 12 BAGAMOYO MKOA WA PWANI
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Pius Kazaula wa Morogori na
Idd Pialali wa Bagamoyo mkoa wa Pwani wamesaini mkataba wa kuzipiga
Novemba 12 katika ukumbi wa chuo cha sanaa Bagamoyo TASUBA watazipiga
kugombania ubigwa wa U.B.O Afrika mpambano wa raundi 12
akizungumza wakati wa utiaji saini mpambano uho Katibu
Mkuu wa P.S.T Anthony
Rutagamba amesema wameamua kuwawekea ubingwa wa Afrika kwa kuwa mabondia
hawo viwango vyao vinafanana kwa kila kitu mana katika boxrec wote wana
point 5 pamoja na nyota moja hivyo ni mabondia wa kuwaendeleza kwa sasa
kwa kuwa ndio vijana tunao wategemea kwa kipindi hiki
aliongeza kwa kusema mabondia hawo
watacheza katika uzito wa paund 147 sawa sawa na kilo glam 66 ubingwa wa
U.B.O Afrika ambapo Super visor wa mpambano uho atakuwa Josmo Mlundwa
aliongeza kwa kusema kuwa mabondia
wengine walioingia mikataba kwa ajili ya kucheza mchezo wa utangulizi
siku hiyo ni Emilio Norfat atakaezipiga na Rojas Masam mpambano wa
raundi 6 katika uzito wa kg 61
Katika
Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi
pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na
kocha 'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo
na mashabiki kujua sheria za masumbwi.
Ndani
yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani,
Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na
matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa
dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi