Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, October 18, 2016

PIUS KAZAULA KUZIPIGA NA IDD PIALALI NOVEMBA 12 TASUBA BAGAMOYO UBINGWA WA AFRIKA


Mabondia Pius Kazaula na Idd Pialali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Afrika uzani wa KG 66 utakaofanyika katika ukumbi wa TASUBA Bagamoyo mpambano utakuwa wa raundi 12 utapigwa novemba 12 Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Pius Kazaula wa morogoro kushoto na Idd Pialali wa Bagamoyo wakitoleana macho wakati wa kutangaza mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O  Afrika raundi 12  utakaofanyika november 12  katika ukumbi wa TASUBA Bagamoyo Mokoa wa Pwani Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Pius Kazaula kushoto na Idd Pialali wakiwa katika pozi la kutunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga novemba 12  mpambano wa ubingwa wa U.B.O Afrika utakaofanyika katika ukumbi wa Tasuba Bagamoyo Mkoa wa Pwani Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Pius Kazaula na Idd Pialali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Afrika uzani wa KG 66 utakaofanyika novemba 12 katika ukumbi wa TASUBA Bagamoyo mpambano utakuwa wa raundi 12 Picha na SUPER D BOXING NEWS
BONDIA ROJAS MASAM
BONDIA EMILIO NORFAT

BONDIA IDD PIALALI

BONDIA PIUS KAZAULA



Bondia Pius Kazaula wa Morogoro kushoto akisaini mkataba wa kuzipiga novemba 12 na Idd Pialali kuwania ubingwa wa U.B.O Afrika mpambano utakaopigwa kwa raundi 12 katikati ni  Katibu Mkuu wa P.S.T Anthony Rutagamba Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Idd Pialali wa Bagamoyo kulia akisaini mkataba wa kuzipiga novemba 12 na Pius Kazaula wa Morogoro kuwania ubingwa wa U.B.O Afrika mpambano utakaopigwa kwa raundi 12 katikati ni  Katibu Mkuu wa P.S.T Anthony Rutagamba Picha na SUPER D BOXING NEWS
MABONDIA PIUS KAZAULA WA MOROGORO KUSHOTO NA IDD PIALALI WA BAGAMOYO WAKIPITIA MIKATABA YAO KABLA YA KUSAINI KUZIPIGA NOVEMBA 12 BAGAMOYO MKOA WA PWANI


Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Pius Kazaula wa Morogori na Idd Pialali wa Bagamoyo mkoa wa Pwani wamesaini mkataba wa kuzipiga Novemba 12  katika ukumbi wa chuo cha sanaa Bagamoyo TASUBA watazipiga kugombania ubigwa wa U.B.O Afrika mpambano wa raundi 12 
akizungumza wakati wa utiaji saini mpambano uho  Katibu Mkuu wa P.S.T Anthony Rutagamba amesema wameamua kuwawekea ubingwa wa Afrika kwa kuwa mabondia hawo viwango vyao vinafanana kwa kila kitu mana katika boxrec wote wana point 5 pamoja na nyota moja hivyo ni mabondia wa kuwaendeleza kwa sasa kwa kuwa ndio vijana tunao wategemea kwa kipindi hiki

aliongeza kwa kusema mabondia hawo watacheza katika uzito wa paund 147 sawa sawa na kilo glam 66 ubingwa wa U.B.O Afrika ambapo Super visor wa mpambano uho atakuwa Josmo Mlundwa

aliongeza kwa kusema kuwa mabondia wengine walioingia mikataba kwa ajili ya kucheza mchezo wa utangulizi siku hiyo ni Emilio Norfat atakaezipiga na Rojas Masam mpambano wa raundi 6 katika uzito wa kg 61


Katika Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha  'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi. 


Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi

No comments :

Post a Comment