Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini kutoka Tanga Chalres Muhiru kulia akifafanuwa jambo wakati wa kikao cha makocha kiricho itishwa na KINYOGOLI FONDOTION mwishoni mwa wiki iliyopita kushoto ni Habibu Kinyogoli Master Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa mchezo wa ndondi Habibu
Kinyogoli Masta akizungumza na makocha walio hudhulia katika kikao cha
makocha kilichofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kulia na Charles
Muhiru Spens Picha na SUPER D BOXING NEWS
MAKOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KIKAO CHAO
Makocha wa mchezo wa masumbwi wakiwa katika picha ya
pamoja baada kikao chao waliosimama kutoka kushoto ni Sako Mtulya,
Ibrahimu Kamwe, Ally Bakari, Michael Buchato na waliokaa kutoka kushoto
ni Chalres Muhiru wa Tanga Habibu Kinyogoli pamoja na Kocha wa kimataifa
wa machezo huo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS
Makocha wa mchezo wa masumbwi wakiwa
katika picha ya pamoja baada kikao chao waliosimama kutoka kushoto ni
Sako Mtulya, Ibrahimu Kamwe, Ally Bakari, Michael Buchato na waliokaa
kutoka kushoto ni Chalres Muhiru wa Tanga Habibu Kinyogoli pamoja na
Kocha wa kimataifa wa machezo huo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila
'Super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS
No comments :
Post a Comment