Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Waganga
wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
Waganga
Wakuu wa Mikoa na Wilaya wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa
Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya uliofanyika
kwenye Chuo Cha Mipango mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan (kulia) akizungumza na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na
Watoto Mhe. Ummy Mwalimu mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa mwaka
wa Waganga
wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
No comments :
Post a Comment