Promota wa mpambano wa ngumi Evalist Ernest katikati akiwainua mikono juu mabondia Iddi Mkwera kushoto na Ramadhani Shauri baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Mei 5 katika ukumbi wa Uwanja wa ndani wa Taifa mpambano wa raundi kumi Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Promota wa mpambano wa ngumi Evalist Ernest katikati akimkabidhi mkataba wake bondia Idd Mkwera baada ya kutiliana saini ya kuzipiga na Ramadhani Shauri kulia mpambano utakaofanyika mei 5 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Idd Mkwera akizungumzia mpambano wake wa mei 5 mwaka uhu atakapozipiga na Ramadhani Shauri kulia katikati ni Promota wa mpambano wa ngumi Evalist Ernest Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Promota wa mpambano wa ngumi Evalist Ernest katikati akiwatambulisha mabondia Haidar Mchanjo kushoto na Amani Bariki 'Manny Chuga' baada ya kusaini kuzipiga mei 5 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Said Chino kushoto akitambiana na Hamza Mchanjo baada ya makubaliano ya kuzipiga mei 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Karimu Ramadhani kushoto akitambiana na Jems Kibazange baada ya makubaliano ya kuzipiga mei 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
No comments :
Post a Comment