Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimnowa bondia Idd Mkwera kulia kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika mei 4 mwaka uhu utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa Mkwera atazipiga na Ramadhani Shauri mpambano wa raundi 10 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kulia akipambana na Idd Mkwera kushoto wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake na Ramadhani Shauri utakaofanyika mei 4 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa mpambano wa raundi kumi Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Idd Mkwera akionesheana umwamba wa kutupiana makonde nma Ibrahimu Class 'king Class Mawe' wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake na Ramadhani shauri utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa Mei 4 mwaka uhu Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Kelvin Majiba kushoto akipambana na Idd Mkwera wakati wa mazoezi ya Mkwera akijiandaa na mpambano wake na Ramadhani Shauri utakao fanyika mei 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa 'INDOOR STADIUM' Picha na SUPER D BOXING NEWS |

No comments :
Post a Comment