Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, May 28, 2018

BONDIA VICENT MBILINYI AMCHIMBIA MKWALA BENSON NYILAWILA WA MBEYA

Na Mwandishi Wetu

BONDIA Vicent Mbilinyi baada ya kukuu benchi mwaka mzima kwa kukimbiwa na kuogopewa na wambinzani wake mbalimbali katika uzito wake sasa amerudi tena kwa kasi ya ajabu baada ya mwanzo wa mwezi mei kumtwanga bila ya huruma bondia Hussein Shemdoe na kufanya taaruki kwa mashabiki waliojitokeza kwa kumshangilia

Mbilinyi ambae ni bingwa wa kg 61.5 amekuwa akikimbiwa na wapinzani wake waliopo katika renki moja baada ya kuona vipondo anavyowapa wapinzani wake awapo ulingoni baada ya ushindi uho mbilinyi alijinasabu kwa kusema sasa kazi kazi kwani mabondia wengi kwenye uzito wangu wamekuwa wakinikimbia wali sijui sababu za wao kunifanyia hivyo

kwani kama ngumi ni zile zile tunacheza wote ila sio kesi sasa nipo tayali kucheza na yoyote atakaejitokeza kwa sasa kwani mabondia wengi wanachaguana na awana viwango vya juu kama nilivyo mimi

Mbilinyi katika uzito wake anashika nafasi ya tatu katika mabondia  69 wa Tanzania na ni wa 300 duniani katika uzito wake kwa mabondia  1,949

kwa Tanzania katika uzito wa Lightweight namba moja kwa sasa ni Benson Nyilawila wa pili Mohammed Kambuluta

hata hivyo Mbilinyi anamtamana sana kupambana na Benson Nyilawila ili amuondoe pale alipo akae yeye Nyilawila anaefanya shughuli zake mkoa wa mbeya anaonekana kushinda mapambano yake yote 10 kwa K,O  ndio mana amekuwa juu mapambano yote akichezea uko uko mkoani Mbeya

Mbilinyi ambae yupo katika kambi moja na Mabondia Idd Mkwela, Mohamedi Muhunzi, Shomari Milundi, Ibrahimu Class, Kelvin Majiba na wengine walio chini ya kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D

ambaye amewafanya wavume mabondia hawo na kuwa moto wa kuotea mbali kwani mabondia hawo wana nguvu na spidi ya ajabu kwa mazoezi wanayopewa na kocha wao

Mabondia wote wapo katika mazoezi wakati wote kwa ajili ya mapambano yatakayo wakabili popote Duniani

Saturday, May 5, 2018

BONDIA IDD MKWERA AMPIGA KWA K.O RAMADHANI SHAURI

Bondia Idd Mkwera kushoto akipambana na ramadhani Shauri wakati wa mchezo wao uliofanyika mei 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa Mkwera alishinda K.O ya raundi ya 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

BONDIA Idd Mkwera ameibuka kidedea baada ya kumsambalatisha bondia Ramadhani Shauri kwa K.O ya raundi ya 9 katika mpambano uliokuwa na ushindani mkubwa sana lililofanyika katika uwanja wa ndani wa taifa siku ya mei 4

akizungumza baada ya kutangazwa mshindi Mkwera amesema alikuwa amepewa mkataba kwa sikyu 16 ata hivyo siku hizo alizifanyia kazi na kazi watu wameiona anajijia kuwa yeye ni bondia wa kulipwa hivyo anatakiwa kuwa fiti wakati wote na ndicho alichokifanya

Mkwera ambaye ananolewa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kwa kushilikiana na Sako Mwaiseje 'Dundu'Migo hood Staile No Pain No gain

ndio wamekuwa wakimnowa katika mipambano yake yote mpaka kufikia hapo alipofika na kumuweka katika mazingira salama ya kimchezo

Mkwera kwa sasa ana mpinzani alijinasibu kwa kusema kuwa yeye ni moto hivyo ukiusogerea lazima uunguwe akuna jinsi ata hivyo mpambano huo ulikuwa mzuri na wakuvutia kwa wapenzi wa mchezo huo kwa kuwa mabondia wote walikuwa wanajua kucheza kiufundi zaidi

mbali na mpambano uho mpambano mwingini ulikuwa kati ya Amani bariki na haidar Mchanjo ambapo mchanjo alishinda kwa pointi na saidi chino alimsambalatisha kwa pointi bondia Hamza Mchanjo na jems Kibazange alimpiga K.O ya raundi ya 3 bondia Karimu Ramadhani

katika mchezo uho ingawa kulikuwa na mvua watu walijitokeza kuangalia ngumi na kupata burudani wanayo itaka hakika wamekizi vigezo vya kuwa mabondia wa kulipwa

BONDIA IDD MKWERA ALIVYO MSAMBALATISHA RAMADHANI SHAURI MEI 4 TAIFA

Bondia Ramadhani Shauri kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde  na Idd Mkwera wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa mei 4 Mkwera alishinda kwa K.O ya raundi ya 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS
Ramadhani Shauri na Idd Mkwera wakipambana

kati kazi ikiendelea

Bondia Idd Mkwera kushoto akipambana na ramadhani Shauri wakati wa mchezo wao uliofanyika mei 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa Mkwera alishinda K.O ya raundi ya 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Idd Mkwera kushoto akipambana na ramadhani Shauri wakati wa mchezo wao uliofanyika mei 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa Mkwera alishinda K.O ya raundi ya 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kazi kazi kazi ya kutupiana makonde kati ta Ramadhani Shauri kushoto na Idd Mkwera kulia walivyokutana katika mpambano wao wa raundi kumi ata hivyo Mkwera alishinda K.O ya raundi ya 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Ramadhani Shauri akiwa nyakanyaka baada ya kushambuliwa na makonde ya Idd Mkwera wakati wa mpambano wao wa raundi kumi hapo refa John Chagu akimwesabia Mkwera alishinda kwa K.O ya raundi ya 9  Picha na SUPER D BOXING NEWS

REFA JOHN CHAGU AKIMWAMLISHA BONDIA IDD MKWELA AENDE KWENYE KONA NYEUPE APATE KUMUHESABIA RAMADHANI SHAURI KUSHOTO

Thursday, May 3, 2018

IDDY MKWERA NA RAMADHANI SHAURI WAPIMA UZITO KWA KUZIPIGA KESHO TAIFA

Bondia Idd Mkwera akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa mei 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa kushoto ni mpinzani wake Ramadhani Shauri Picha na SUPER D BOXING NEWS

Promota wa mchezo wa ngumi Evalist Ernest  katiakati akiwainua mikono juu bondia Ramadhani Shauri kushoto na Iddy Mkwera baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Ijumaa mei 4 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

BONDIA IDDY MKWERA AKIPIMA AFYA KWA DR DOLNAD MADONNO KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA RAMADHANI SHAURI

Bondia Idd Mkwera akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa mei 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa kushoto ni mpinzani wake Ramadhani Shauri Picha na SUPER D BOXING NEWS