Bondia Idd Mkwera kushoto akipambana na ramadhani Shauri wakati wa mchezo wao uliofanyika mei 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa Mkwera alishinda K.O ya raundi ya 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS Na Mwandishi Wetu BONDIA Idd Mkwera ameibuka kidedea baada ya kumsambalatisha bondia Ramadhani Shauri kwa K.O ya raundi ya 9 katika mpambano uliokuwa na ushindani mkubwa sana lililofanyika katika uwanja wa ndani wa taifa siku ya mei 4 akizungumza baada ya kutangazwa mshindi Mkwera amesema alikuwa amepewa mkataba kwa sikyu 16 ata hivyo siku hizo alizifanyia kazi na kazi watu wameiona anajijia kuwa yeye ni bondia wa kulipwa hivyo anatakiwa kuwa fiti wakati wote na ndicho alichokifanya Mkwera ambaye ananolewa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kwa kushilikiana na Sako Mwaiseje 'Dundu'Migo hood Staile No Pain No gain ndio wamekuwa wakimnowa katika mipambano yake yote mpaka kufikia hapo alipofika na kumuweka katika mazingira salama ya kimchezo Mkwera kwa sasa ana mpinzani alijinasibu kwa kusema kuwa yeye ni moto hivyo ukiusogerea lazima uunguwe akuna jinsi ata hivyo mpambano huo ulikuwa mzuri na wakuvutia kwa wapenzi wa mchezo huo kwa kuwa mabondia wote walikuwa wanajua kucheza kiufundi zaidi mbali na mpambano uho mpambano mwingini ulikuwa kati ya Amani bariki na haidar Mchanjo ambapo mchanjo alishinda kwa pointi na saidi chino alimsambalatisha kwa pointi bondia Hamza Mchanjo na jems Kibazange alimpiga K.O ya raundi ya 3 bondia Karimu Ramadhani katika mchezo uho ingawa kulikuwa na mvua watu walijitokeza kuangalia ngumi na kupata burudani wanayo itaka hakika wamekizi vigezo vya kuwa mabondia wa kulipwa |
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment