Bondia Ramadhani Shauri kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwera wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa mei 4 Mkwera alishinda kwa K.O ya raundi ya 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Ramadhani Shauri na Idd Mkwera wakipambana |
kati kazi ikiendelea |
Bondia Idd Mkwera kushoto akipambana na ramadhani Shauri wakati wa mchezo wao uliofanyika mei 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa Mkwera alishinda K.O ya raundi ya 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Idd Mkwera kushoto akipambana na ramadhani Shauri wakati wa mchezo wao uliofanyika mei 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa Mkwera alishinda K.O ya raundi ya 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kazi kazi kazi ya kutupiana makonde kati ta Ramadhani Shauri kushoto na Idd Mkwera kulia walivyokutana katika mpambano wao wa raundi kumi ata hivyo Mkwera alishinda K.O ya raundi ya 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Ramadhani Shauri akiwa nyakanyaka baada ya kushambuliwa na makonde ya Idd Mkwera wakati wa mpambano wao wa raundi kumi hapo refa John Chagu akimwesabia Mkwera alishinda kwa K.O ya raundi ya 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
REFA JOHN CHAGU AKIMWAMLISHA BONDIA IDD MKWELA AENDE KWENYE KONA NYEUPE APATE KUMUHESABIA RAMADHANI SHAURI KUSHOTO |
No comments :
Post a Comment