Kiongozi wa bendi ya Msondo, Saidi Mabela (kulia) akimkabidhi Saxaphone msanii mpya wa bendi hiyo Shabani Lendi Dar es Salaam leo, baada ya kuingia mkataba wa miaka miwili akitokea bendi ya Sikinde katikati ni Meneja wa bendi hiyo Saidi Kibiliti.(picha na www.burudan.blogspot.com)
KAMPUNI YA ALGERIA KUWEKEZA VIWANDA VYA KOROSHO TANZANIA
-
.
Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia
kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili
kuongez...
2 days ago
No comments :
Post a Comment