Baadhi
ya
Wamiliki wa magazeti Tandao walioko jijini Dar es Salaam, wakiwa katika
picha
ya pamoja walipokutana katika tafrija ya kuwaaga, washiriki wa shindano
la
Guinness Football Challenge 2013. Kutoka kushoto ni Kassim Mbaruku,
Fransic Dande, Josephat Lukaza, William Malecela, Ahmad Michuzi, John
Bukuku, Henry Mdimu na Othman Michuzi ambaye amekaa chini ni Mroki Mroki
a.k.a Father Kidevu.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment