Hii
Bonge la Tripod Stand, ili iweze kupatikana kazi nzuri na matokeo bora
ya kazi hata kama Bosi haelewi maana ya kitendea kazi kinachohitajika
mahala kama hapa. Askari Magereza ambaye hakuweza kufahamika jina lake
akimsaidia mdada huyu aliyekuwa akinasa matukio ya picha katika sherehe
za mapinduzi, mjini Zanziba leo mchana, haikuweza kufahamika kama jamaa
hawa walikuwa ni wanahabari au ni kutoka kwa bosi mmoja. Lakini mwisho
wa siku Bosi anahitaji kazi iliyo nzuri bila kujali kuwa watendaji wake
wanataabika katika kufanya kazi bila kuwa na vitendea kazi bora
vinavyokwenda na wakati, na suala hili si kwa hawa jamaa pekee ila ni
katika Ofisi nyingi tu hususan Vyombo vya habari vya hapa nchini. http://sufianimafoto.blogspot.com
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment