Wanafunzi hao wakiwa na mabango yenye jumbe mbali mbali wamefanya maandamano hayo mchana wa leo kutoka chuoni hapo hadi makao makuu ya polisi mjini Dodoma kupinga utendaji kazi wa jeshi hilo na kulitaka kutoa majibu ya uchunguzi wa kifo cha mwenzao
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment