Meneja Masoko wa Kampuni ya Car and General, Jonathani Masanja akimuonesha Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda pikipiki ya miguu mitatu aina ya TVS King itakayotolewa kwa mshindi wa kwanza wa mashindano ya Meya Cup, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. NMB ni mdhamini mkuu wa mashindano hayo. (NA MPIGAPICHA WETU)
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment