Amesema
ameamua kuchukua bendi hiyo itoe burudani ili ikonge nyoyo za mashabiki
mbalimbali wa taarabu ambapo walikosa raha hizo wakati wa mfungo wa
mwezi mtukufu wa Ramadhani
Katika
Shamra shamra hizo za sikukuu ya iddi watakuwa wakitambulisha nyimbo
zao tatu mpya ambazo ni Rabb nilinde ulioimwa na Mwanahawa Ally,
Ukewenza sio dili,ulioimbwa na Mwanaidi Shabani na Stara ulioibwa na
Sabaha Muchacho,
Ambapo
siku hiyo wageni waalikwa ni Pr. Muhamed Elyas, Bi Shakirla ,Muhamed
Issa Matona na wengine ambapo kiingilio 5000, ndani ya ukumbi wa
Traventine Hotel iliyopo magomeni jijini Dar es salaam
Bendi
hiyo imeakikisha kukonga nyoyo za mashabiki wao jukwaani kwa kuwa
watakuwa wa kwanza kusikiliza nyimbo zao mpya wakiwa live jukwaani
No comments :
Post a Comment