Mchezaji wa mchezo wa Keram Omari Wenga kushoto
akicheza na Abdul Hussein wakati walipokuwa wanacheza mchezo
huo katika klabu ya Buguruni Shuingi iliyopo Malapa Dar es salaam jana
anaeshudia katikati ni Shabani Swaleh picha na www.burudan.blogspot.com
TAMASHA LA PASAKA LARUDI KWA KISHINDO 2026
-
Tamasha la Pasaka, linaloandaliwa na kuratibiwa na Msama Promotions,
limeendelea kuwa tukio muhimu la muziki wa Injili nchini Tanzania. Kwa
msimu huu, ...
12 hours ago
No comments :
Post a Comment