Katibu wa chama cha Baiskeli Kanda ya Ziwa(KAMWASHI), John
Elisha akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mashindano ya Baikeli Kandaya
ya Ziwa yanayojulikana kwa “Safari Bike Race” yanayotarajiwa kufanyika kesho
Mkoani Shinyanga wakati wa kusherehekea sikukuu ya Nane nane.kutoka kulia ni
Mratibu wa mashindano hayo,Peter Zacharia,Meneja matukio Kanda ya Ziwa
TBL,Erick Mwayela,Meneja mauzo Syanyanga TBL,Robert Michae na Mwenyekiti wa
chama hicho, Elisha Elias.
HII NDIO LAETOLI
-
Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro ikiongozwa na
makamu Mwenyekiti Dkt. Harriet Mtae jana tarehe 11 julai, 2026 imekagua
ubores...
1 day ago
No comments :
Post a Comment