Bondia AZizi Uliza akingia na Farasi kwa ajili ya kupima uzito kupambana na Ramadhani Shauri desema 31 katika mpambano wa kufunga mwaka |
|
Bondia AZizi Uliza akingia na Farasi kwa ajili ya kupima uzito kupambana na Ramadhani Shauri desema 31 katika mpambano wa kufunga mwaka |
Bondia Azizi Uliza akijifua kwa kupiga spidboll wakati wa mazoezo yake ya kujiandaa na mpambano wake na Ramadhani Shauri utakaofanyika katika uwanja wa Kinesi Shekilango Picha na Super D Boxing News' |
Mbwana chinenda kg 57 |
Mabondia Azizi Uliza kushoto wakitazamana kwa usongo mara baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Desemba 31 katika uwanja wa Kinese Shekilango |
Bondia Iddi Mkwela akietoa Damu wakatiwa kampeni ya uchangiaji wa Damu Salama kwa ajili ya kuokowa Maisha iliyofanyika katika makutano ya mtaa wa Likoma na Agrey Dare Es Salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mdungaji wa sindano kwa ajili ya utoaji wa Damu Rosemary Bulemo kutoka kitengo cha Damu Salama Kanda ya Mashariki akimchoma sindano Bondia Idd Mkwela kwa ajili ya kuchangia Damu uliofanyika katika makutano ya mtaa wa Likoma na Agrey Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wa pili kulia akiwa na Bondia Iddi Mkwela mwenye kibagarashia wakiwa na wadau mbalimbali waliojitokeza kutoa Damu ambao wapo katika kikundi cha Upendo Group kilichopo Kariakoo Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS Na Mwandishi Wetu BAADHI YA MABONDIA wamechangia Damu kwa ajili ya kuokowa maisha mabondia hawo wanaotoka katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM wamejitolea kuchangia Damu kwa jamii kwa kuokoa maisha ya watanzania akizungumza wakati wa uchangiaji huo kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' Amesema kuwa wameamua kuchangia Damu kwa kuwa wameona jamii nyingi inayo wazunguka ina tatizo la damu kutokana na mambo mengi ya ajali zinazotokea barabarani na wanakuwa na mahitaji mengi yanayousu Damu alisisitiza kuwa Super D Boxing Promotion imejizatiti kuitumikia jamii kwa mambo mbalimbali ikiwemo kuchangia Damu pamoja na kujitolea kufanya kazi za kijamii na ndio maana tumeamua kuja kujitolea Damu kwa mabondia wangu ambao na Idd Mkwela Vicent Mbilinyi Hussein Shemdowe na Bilali Ngonyani ambao wamejitolea kutoa Damu nae Bondia machachali Iddi Mkwela aliongeza kwa kusema kuwa ameamua kujitolea Damu ni kwa sababu ameona watu wengi wana mahitaji ya kupatiwa na ukiangalia jamii inayotuzunguka nayo ina maitaji zaidi hivyo nashauli watanzania tuwe na moyo wa kujitolea Damu ili iwe akiba mana na wewe ukipungukiwa siku yake unachukuwa bila galama kwani Damu aiuzwi popote ni uchangiaji wa hiali kujitolea wewe mimi na yule nawaomba wanamichezo wajitolee kuchangia kwani ni moja ya sadaka zetu hapa Duniani uchangiaji huo wa Damu ulifanyika katika makutano ya mtaa wa Likoma na Agrey ambapo zaidi ya watu 140 walijitokeza kuchangia na kupatikana lita za kutosha tu kwenye kampeni hiyo |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kusoto akimwelekeza bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'Upcat' Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Octobar 15 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kusoto akimwelekeza bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' jinsi ya kupiga ngumi ya Kunyooka 'Jab' Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Octobar 15 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' kushoto wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kelvin Majiba wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika kwa Super d Coach Uhuru GYM Kiwale anajiandaa na mpambano wake wa kimataifa utakaofanyika Octoba 15 China Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akitupiana makonde na Sunday Kiwale ''Moro Best' wakati wa mazoezi yao yalyofanyika kwa Super D Coach Uhuru GYM Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Octoba 15 China Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kusoto akimwelekeza bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'Upcat' Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Octobar 15 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Said Kidedea kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika uwanja wa ndani wa Taifa Mbilinyi alishinda kwa T.K.O ya raundi ya 4 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Said Kidedea kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika uwanja wa ndani wa Taifa Mbilinyi alishinda kwa T.K.O ya raundi ya 4 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Vicent Mbilinyi kulia akipiga ngumi ya kulia kwa Saidi Kidedea wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbilinyi alishinda kwa K.O raundi ya 4 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Refarii Ramadhani Jifasto akimwinuwa mkono juu bondia Vicent Mbilinyi baada ya kumsambalatisha Saidi Kidedea kwa T.K.O ya Raundi ya 4 mwishoni mwa wiki iliyopita Picha na SUPER D BOXING NEWS |
BONDIA VICENT MBILINYI NA TEAM YAKE AKIWA KATIKA PICHA YA PAMBOJA NA MPINZANI WAKE SAIDI KIDEDEA |
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Georger Dimoso kushoto na Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Georger Dimoso kushoto akitambiana na Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwatambulisha mbele ya wahandishi wa habari mabondia Saidi Bakari 'Kidedea' kushoto na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Saidi Bakari 'Kidedea' kushoto akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kumaliza kupima uzito katikati ni Promota Rajabu Mhamila 'Super D baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Promota wa mpambano wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Frank John kushoto na Bakari Mbede baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya jymamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Frank John kushoto akitunishiana misuli na Bakari Mbede wakati wa kupima uzito kwa mabondia hawo watazipiga siku ya jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondiaImani Mapambano kushoto na Paul Kamata baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Imani Mapambano kushoto akitambiana na Paul Kamata baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Saidi Zungu kushoto akitambiana na Tonny Rashidi baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Saidi Zungu kushoto na Tonny Rashidi baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Fred Sayunu kushoto na Haidary Mchanjo baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Frdy Sayuni kushoto akitambiana na Haidary Mchanjo baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
PROMOTA WA MPAMBANO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI |
|