Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, May 16, 2016

MABONDIA WA TANZANIA WAPIGWA PINI KUCHEZA JUNE 4 UWANJA WA TAIFA

Bondia Japhert Kaseba kulia akitia saini mkataba wa kuzipiga na bondia Amour Mzungu wa Zanzibar siku ya june 4 mwaka uhu katika uwanja wa ndani wa taifa anaeshudia ni Katibu wa shilikiho la ngumi za kulipwa nchini Anton Rutta Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Japhert Kaseba kulia akitia saini mkataba wa kuzipiga na bondia Amour Mzungu wa Zanzibar siku ya june 4 mwaka uhu katika uwanja wa ndani wa taifa anaeshudia ni Katibu wa shilikiho la ngumi za kulipwa nchini Anton Rutta Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Jonas Segu kulia akitia saini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa taifa atakapozxipiga na bondia kutoka nje wanaoshudia katikati ni Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto ni kocha wa bondia huyo Kwame mkuluma na mwingine ni Hamisi Chala Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Jonas Segu kulia akitia saini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa taifa atakapozxipiga na bondia kutoka nje wanaoshudia katikati ni Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto ni kocha wa bondia huyo Kwame mkuluma na mwingine ni Hamisi Chala Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Mfaume Mfaume akisaini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 mwaka uhu na bondia kutoka nje ya nchi   mbele ya  Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto    Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Mfaume Mfaume akisaini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 mwaka uhu na bondia kutoka nje ya nchi   mbele ya  Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto    Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Fadhili Majiha kulia akisaini mkataba wa kuzipiga na bondia kutoka nje siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto ni kocha wa bondia huyo Kwame mkuluma
Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu
MABONDIA wengine wa Tanzania wamepigwa pini kwa ajili ya kucheza mapambano ya kimataifa siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa

Mabondia hawo walisaini mkataba uho wa kuzipiga na mabondia kutoka nje ya nchi mbele ya  Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta

waliosani kuzipiga na mabondia kutoka nje ya nchi wakiongozwa na Japhert Kaseba ataaezipiga na Amour Mzungu kutoka Zanzibar wengine wailio saini kuzipiga siku hiyo ni pamoja na

Mfaume  Mfaume, Fadhili Majiha,jonas Segu, Alphonce Mchimiatumbo, Vicent Mbilinyi pamoja na Ashiraf Selemani kutoka Zanzibar ambaye nae atazipiga siku hiyo

Mipambano hiyo mingine ya kimataifa inaletwa na promota mkongwe nchini katika maswala ya mchezo wa masumbwi si mwingine bari ni Ally Mwazowa kutoka mkoa wa Tanga 

 siku hiyo pia kutakuwa na ugawaji wa zawadi mbalimbali kwa mabondia watakaocheza vizuri na kuonesa nidhamu ya mchezo wa masumbwi kutoka kwa kocha Rajabu Mhamila 'Super D'  ikiwemo vifaa vya mchezo pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutamba sheria za mchezo uho nyingine zitakuwa zikiuzwa kwa galama nafuu kwa mashabiki watakaofika siku hiyo

Friday, May 13, 2016

NGUMI ZA KIMATAIFA KUPIGWA KESHO JUMAMOSI MEI 14 UWANJA WA NDANI WA TAIFA


Bondia Sajjabi Ben wa Uganda akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kimataifa utakaofanyika siku ya jumamosi ya mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Chiedza Homakoma 'Nikita' wa Malawi akitunishiana misuli na Lulu Kayage baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Alan Kamote kutoka Tanga Tanzania akitunishiana misuli na Salim Chazama wa Malawi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi utakaofanyika jumamosi mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
NASSIBU RAMADHANI
RAMADHANI SHAULI

LULU KAYAGE KATIKATI AKIWA NA TEAM YAKE

LULU KAYAGE KUSHOTO NA Chiedza Homakoma 'Nikita' wa Malawi
FRANSIC MIYEYUSHO
Bondia Sajjabi Ben wa Uganda akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kimataifa utakaofanyika siku ya jumamosi ya mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

 Na Mwandishi Wetu
HOMA ya mpambano wa kimataifa umezidi kupamba moto baada ya leo kukutanishwa mabondia wote  wa Tanzania pamoja na mataifa mengine watakaocheza 
 
akiongea na wahandishi wa habari
wakati wa upimaji uzito kwa mabondia Mratibu wa mpambano uho Anton Rutta amesema kuwa mabondia wote wamepima uzito na ngumi zitapigwa kesho 'Leo' kuanzia saa kumi na nusu jioni ambapo bondia
Thomas Mashali 'Simba Asiyefugika' atakuwa anagombea ubingwa wa dunia kg 76 mkanda wa U.B.O na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani'


 
Wakati mapambano mengine ya kimataifa yatawakutanisha mabondia 
 
 Mwanadada Lulu Kayage atakaezichapa na Chiedza Homakoma 'Nikita' wa Malawi na Allen Kamote atapambana na Salim Chazama wa Malawi  wengine ni Ramadhan Shauri atakaepambana na Osgood Kayuni wa Malawi wakati Twaha Kassim atapambana na Fred Nyakese kutoka Kenya na Saleh Mkalekwa atakumbana na Jems Onyango wa Kenya na Fransic Miyeyusho atavaana na Sajjabi Ben wa Uganda na Nassibu Ramadhani atacheza na Edwrd Kakembo wa Uganda
mapambano mengini ya kitaifa yatawakutanisha  Shaban Kaoneka atakaecheza na Hassan Mwakinyo na Issa Nampepeche atakumbana na Baina Mazola pambano ambalo kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' atatowa zawani ya vifaa vya mchezo wa ngumi kwa mshindi kati ya Nampepeche na Mazola


mapambano hayo ya kimataifa yameandaliwa na promota mkongwe Ally Mwazowa kutoka mkoa wa Tanga

siku hiyo kutakuwa na burudani mbalimbali zitakazo sindikiza mapambano hayo ya kimataifa ya mchezo wa masumbwi pia ngumi zitaanza mapema kuepusha usumbufu unaojitokezaga kwa wapenzi kuchelewa majumbani mwao kwa ajili ya mchezo wa masumbwi

siku hiyo pia kutakuwa na ugawaji wa zawadi kwa mabondia watakaocheza vizuri na kuonesa nidhamu ya mchezo wa masumbwi ikiwemo vifaa vya mchezo pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutamba shiria za mchezo uho nyingine zitakuwa zikiuzwa kwa galama nafuu kwa mashabiki watakaofika siku hiyo

Thursday, May 5, 2016

BONDIA VICENT MBILINYI AJITAHALISHA NA MPAMBANO WAKE WA JUNE 4

Na Mwandishi Wetu

BONDIA Vicent Mbilinyi ameingia kambini rasmi kwa ajili ya mazoezi yake ya mpambano ujao atakapo zipiga na

Bondia Msafiri Haule katika mpambano wa raundi sita utakaofanyika juni 4 mwaka uhu katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa

Mbilinyi aliye chini ya kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amejizatiti kushinda mpambano wake uho kwa kuwa amefanya mazoezi kwa mda mrefu na ajapigana katika jiji la Dar es salaam kwa mda hivyo mashabiki wake wakae mkaa wa kufuraia siku hiyo

aliongeza kwa kusema kuwa Mashabiki wake wategemee ushindi wa K.O mbaya sana aliongeza kwa kusema kuwa kama mashabiki watakumbuka mpambano wangu wa mwisho nilivyo msambalatisha Deo Njiku kwa K,O hivyo mwendeezo wangu utakuwa hivyo hivyo kwa huyo bondia

nae kocha wa kimataifa Rajabu Mhamila 'Super D' anaemnowa Mbilinyi amesema kuwa bondia huyo yupo fiti ata kama mpambano utapigwa leo kwa kuwa amefanya mazoezi ya muda mrefu na yakutosha akiwa chini ya kocha huyo ambaye jukumu lake alishii tu kwa ukocha pamoja na kumtangaza nje na ndani ya nchi na kumtafutia mapambano mbali mbali ambayo yanamwezesha kuendeleza kipaji chake hicho

mbali na mpambano uho siku hiyo kutakuwa na mapambano ya mabondia wa uzito wa juu nchini siku hiyo itajulikana kama  'Usiku wa Mahavy Weight' ambapo bondia Ashiraf Selemani kutoka Zanzibar atapanda uringoni kuzichapa na Mthailand wakati bondia mwingine Amour Mzungu kutoka Zanziba atazipiga na Japhert Kaseba

na mapambano mengine mbalimbali yatakayosindikiza usiku huo wa mabondia wa uzito wa juu nchini

MIKADA YA UBINGWA WA DUNIA WATAKAYOGOBANIA MASHALI/CHEKA YAWASILI NCHINI KUGOMBANIWA MAY 14 TAIFAMratibu wa mpambano wa ungingwa wa Dunia wa U.B.O Anton Rutta katikati akionesha mikanda ya ubingwa watakayogombania mabondia Cosmas Cheka atakaecheza na Fransic Kimani wa Kenya na Thomasi Mashali kulia akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia atakaocheza na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' mpambano utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya may 14 Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mratibu wa mpambano wa ungingwa wa Dunia wa U.B.O Anton Rutta katikati akionesha mikanda ya ubingwa Dunia mbele ya waandishi wa habari awapo pichani watakayogombania mabondia Cosmas Cheka atakaecheza na Fransic Kimani wa Kenya na Thomasi Mashali kulia nae atagombania ubingwa wa Dunia atakaocheza na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' mpambano utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya may 14 Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Cosmas Cheka akiongea na waandishi wa habari

Fransis Miyeyusho akiongea na waandishi wa habnari

Bondia Lulu Kayage akiongtea na waandishi wa habari

Mratibu wa mpambano wa ungingwa wa Dunia wa U.B.O Anton Rutta katikati akionesha mikanda ya ubingwa watakayogombania mabondia Cosmas Cheka atakaecheza na Fransic Kimani wa Kenya na Thomasi Mashali kulia akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia atakaocheza na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' mpambano utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya may 14 Picha na SUPER D BOXING NEWS

 Na Mwandishi Wetu
HOMA ya mpambano wa kimataifa umezidi kupamba mota baada ya leo kukutanishwa mabondia wote  wa Tanzania watakaocheza na wa nje kuongea na wahandishi wa habari
baada ya kuwasili mikanda ya ubingwa wa Dunia itakayo gombaniwa na mabondia wawili wa Tanzania akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mlatibu wa mpambano uho Anton Rutta amesema mabondia wote wapo safi kwa ajili ya mpambano uho wa kimataifa ambapo bondia
Thomas Mashali 'Simba Asiyefugika' atakuwa anagombea ubingwa wa dunia kg 76 mkanda wa U.B.O na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani'

nae Cosmas Cheka atakuwa akigombania ubingwa wa Dunia  wa U.B.O uzito wa super Fether kg 59  dhidi ya mkenya Fransic Kimani
 
Wakati mapambano mengine ya kimataifa yatawakutanisha mabondia 
 

 Mwanadada Lulu Kayage atakaezichapa na Chiedza Homakoma 'Nikita' wa Malawi  wengine ni Ramadhan Shauri atakaepambana na Osgood Kayuni wa Malawi wakati Twaha Kassim atapambana na Fred Nyakese kutoka Kenya na Saleh Mkalekwa atakumbana na Jems Onyango wa Kenya na Fransic Miyeyusho atavaana na Frank Kiwalabye wa Uganda na Nassibu Ramadhani atacheza na Edwrd Kakembo wa Uganda Abdalla Pazi 'Dula Mbabe' atavaana na  Chamunorwa Gonorenda kutoka Zimbabwe
mapambano mengini ya kitaifa yatawakutanisha  Shaban Kaoneka atakaecheza na Hassan Mwakinyo na Issa Nampepeche atakumbana na Baina Mazola


mapambano hayo ya kimataifa yameandaliwa na promota mkongwe Ally Mwazowa kutoka mkoa wa Tanga

siku hiyo kutakuwa na burudani mbalimbali zitakazo sindikiza mapambano hayo ya kimataifa ya mchezo wa masumbwisiku hiyo pia kutakuwa na ugawaji wa zawadi kwa mabondia watakaocheza vizuri na kuonesa nidhamu ya mchezo wa masumbwi ikiwemo vifaa vya mchezo pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutamba shiria za mchezo uho nyingine zitakuwa zikiuzwa kwa galama nafuu kwa mashabiki watakaofika siku hiyo

Airtel yatoa Fursa za Ajira kwa wanafunzi katika vyuo vikuu mbalimbali nchini


Meneja Rasilimali watu wa Airtel, Bi, Gabriella Kaisi (kulia) akiwapongeza James Kwayu (katikati) na Abubakar Nassor ambao ni wanafunzi wa vyuo waliofaidika na aiira katika kampuni ya Airtel kupitia ushirikiano kati ya Airtel na chama cha wanafunzi vyuoni  Tanzania AIESEC  wenye lengo la kuwawezesha vijana walioko vyuoni kupata ajira katika makampuni mbalimbali kila mwaka.
 xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
· Airtel yatoa ajira kwa wanafunzi wenye vipaji katika vyuo vikuu
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imedhamini kongamano la ajira  kwa vijana wa chuo kikuu linaloandaliwa na AIESEC Tanzania  lenye lengo la kuwaweka pamoja waajiri (makapuni) na waajiriwa watarajiwa (wanafunzi)  kwa lengo la kuwapatia Fursa zitakazowasaidia katika kuendesha shughuli za kiuchumi.
Kila Mwaka AIESEC huandaa kongamano la ajira kwa vijana linaloshirikisha wanafunzi zaidi ya 1500 kutoka katika vyuo vikuu mbalimbali nchini. Kuanzia mwaka jana Airtel imejikita na kushiriki  katika kongamano hilo ikiwa ni sehemu ya kuendeleza dhamira yake ya kuwawezesha vijana wanaohitimu vyuoni kupata ajira.
Akiongea kuhusu mpango huo, Meneja Rasilimali watu wa Airtel , Gabriella Kaisi alisema”Tunayofuraha kuwa sehemu ya mpango huu kwa kushirikiana AIESEC Tanzania lengo likiwa ni kuwafikia na kuwaajiri vijana wenye vipaji kutoka katika vyuo vikuu mbalimbali nchini. Tunaamini kila kijana ana nafasi ya kufikia ndoto zake  na ndio mana tunatoa fursa  kwa vijana kufanya kazi pamoja nasi. 
Mwaka jana tuliwawezesha vijana watatu wahitimu kutoka vyuo vikuu vya IFM pamoja na chuo kikuu cha Dar es salaam kupata ajira katika ofisi zetu za Airtel. Vijana hao ni pamoja na Abubakar Nassor ambaye anafanya kazi katika kitengo cha masoko James Kwayu yuko katika kitengo cha Huduma kwa wateja na Gerald Msafiri anafanya kazi katika kitengo cha mauzo.
Vijana hawa watapata nafasi ya kwenda kufanya kazi nje ya nchi katika makao makuu ya Airtel  nchini Kenya na India  kwa muda wa mienzi miwili kuanzia mwezi wa Mei hadi Julai 2016. Watakaporudi watapangia kufanya katika vitengo tofauti ili kupata uzoefu na mwanga zaidi aliongeza Kaisi
Akiongea kuhusu program hiyo, moja kati ya waliofaidika na mpango katika kitengo cha masoko, Abubakar Nassor alisema” najisikia furaha kuwa mwanachama wa AIESEC Tanzania kwani kumeniwezesha kupata fursa hii adimu ya ajira, uzoefu katika kazi na nafasi ya kujifunza katika kampuni kubwa ya simu duniani. Nimejipanga vyema kujifunza zaidi katika miezi 2 nitakayokuwa  nchini India na Nairobi,   nahaidi kuitumia fursa hii vyema ili kuweza kuzifikia ndoto zangu
Mwaka huu Airtel imejipanga kuendelea kuwafikia vijana wengi zaidi kwa kutoa ajira kwa vijana wengine watano ambao watafanya vizuri na kufaulu mitihani mbalimbali inayoendelea kwa sasa.  

Airtel itatangaza majina ya wanafunzi wengine watakaofudhu na kuchaguliwa kwa mwaka huu mara baada ya hatua za uajiri zitakapokamilika.

MABONDIA KUTOKA ZANZIBA WASAINI KUZIPIKA KATIKA 'USIKU WA MAHAVY WEIGHT'Bondia wa uzito wa juu nchini kutoka Zanzibar Ashiraf Selemani katikati akitia saini mkataba wa kuzichapa na bondia kutoka Thailand June 4 mpambano utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa kulia ni bondia Amour Mzungu nae kutoka Zanzibar akushudia kulia ni Anton Rutta katibu mkuu wa shilikisho la ngumi za kulipwa nchini PST akishudia Picha na SUPER D BOXING NEWS

ASHIRAF AKISAINI MKATABA WA KUZIPIGA JUNI
Bondia Amnour Mzungu akisaini mkataba wa kuzipiga na Japhert Kaseba kugombania ubingwa wa U.B.O Afrika June 6

BONDIA AMOR MZUNGU
BONDIA AMOR MZUNGU

TIBA YA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA KIKE UVUMBUZI WAKE KITABU HIKI HAPAKITABU AMBACHO KINATOA TIBA ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA KIKE KWA KUTUMIA VYAKULA VYA ASILI IKIWEMO MATUNDA NA MBOGA MBOGA ZA MAJANI SASA KIPO MITAANI KINAPATIKANA MITAA YA UHURU NA MSIMBAZI KWA MAITAJI YA KITABU HIKI NA DAWA MBALIMBALI ZA KUTIBU MARADHI PAMOJA NA MATATIZO PIGA SIMU  0787406938

TANGAZO LA DAWA YENYE NGUVU ENZOY


DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA MSIMKO KWA WANAWAKE WASIO NA HAMU YA TENDO LA NDOA AMBAYO HULETA MSISIMKO KWA WANAUME NA WAKE WAKUTANAPO.KWA SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU HAPA JIJINI DAR ES SALAAM MAKUTANO YA MTAA WA KIPATA NA BARABARA YA MSIMBAZI
ALLY WA YANGA BOMBA UHURU NA MSIMBAZI 0787230551 AU 0652755838


PIGA SIMU KWA MR.MKUNJE O713827689, 0755074505 , au 0719 541366,0754406938
,0652755838 UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM


SHULE YA UHURU FIKA JENGO LA AZAM BAKHRESA ULIZA NGAEJE 0713873412


MWANANYAMALA FIKA JABA KLABU  ULIZA MACHELLAH 0713470492
ENZOY INALETA HESHIMA
ENZOY DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA KIKE