Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, December 25, 2014

SUPER D BOXING COACH AMSAIDIA VIFAA MUSSA CHITEPETE WA SONGEA


Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akimkabidhi vifaa bondia Mussa Chitepete wa Songea vilivyotolewa na Super D kwa kushilikiana na marafiki zake wa kwenye mtandao wengine kulia ni Kiliani Shayo na Rajabu Mkamba ambaye ni mdau mkubwa wa kuhamasisha kusaidia mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D katikati akionesha vifaa alivyompatika Mussa Chitepete wa Songea kushoto kulia ni mdau wa Rajabu Mkamba ambaye ni mdau mkubwa wa kuhamasisha kusaidia mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D katikati akionesha vifaa alivyompatika Mussa Chitepete wa Songea kushoto kulia ni mdau wa Rajabu Mkamba ambaye ni mdau mkubwa wa kuhamasisha kusaidia mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimtambulisha bindia wa kike ambaye ndie bingwa wa wanawake kwa sasa Halima Ramadhani

KOCHA SUPER D AMPIGA TAFU YA VIFAA BONDIA MUSSA CHITEPETE WA SONGEA VIFAA


Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akimkabidhi vifaa bondia Mussa Chitepete wa Songea vilivyotolewa na Super D kwa kushilikiana na marafiki zake wa kwenye mtandao wengine kulia ni Kiliani Shayo na Rajabu Mkamba ambaye ni mdau mkubwa wa kuhamasisha kusaidia mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING 


Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akimkabidhi vifaa bondia Mussa Chitepete wa Songea vilivyotolewa na Super D kwa kushilikiana na marafiki zake wa kwenye mtandao wengine kulia ni Kiliani Shayo na Rajabu Mkamba ambaye ni mdau mkubwa wa kuhamasisha kusaidia mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING 
Na Mwandishi Wetu

KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kwa kushilikiana na marafiki zake wa kwenye mtandao wa kijamii wa watsupp wamemkabidhi vifaa bondia Mussa Chitepete wa Songea kwa ajili ya kuhamasisha mchezo wa masumwi nchini

Super D alimkabidhi vifaa hivyo bondia huyo hivi karibuni alivyotembelea jijini Dar es salaam kuja kushiliki mchezo wa masumbwi ambapo alipatiwa glove,gum shit,clip bandeji pamoja na kamba kwa ajili ya kurukia

vifaa hivyo vilivyotolewa na super D kwa kushilikiana na mdau mkubwa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mkumba ambaye ndie mwamasishaji mkubwa katika mtandao huo kwa ajili ya kusaidia mabondia

baada ya kukabidhiwa msaada huo bondia Mussa Chitepete wa Songea alishukulu wadau 
 mbalimbali kwa kumpatia vifaa na kumpongeza kocha Super D kwa kuanzisha mtandao ambaoumekuwa muhimu sana kwangu kwa mimi kupata vifaa najua sitotumia peke yangu wapo na wenzangu tutakao tumia nao pamoja vifaa hivi ambavyo itakuwa chachu ya kuinua mchezo wa masumbwi Songea

nae mdau mkubwa wa masumbwi nchini Rajabu Mkamba amesema kwa kushilikiana na Super D wamefanya mambo mengi kwa ajili ya kuinua mchezo wa masumbwi nchini hivyo atutoishia hapa tutaendelea kutoa sapoti kwa mabondia na wadau mbalimbali ili mchezo usonge mbele na wadhamini wajitokeze kusaidia ili vijana wawe na moyo wa kucheza mchezo wa masumbwi

KAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YATOA ZAWADI YA XMAS NA MWAKA MPYA KWA WATOTO YATIMA


  Msimamizi mkuu wa mauzo wa kanda ya pwani wa kampuni ta Megatrade, Albert Kingu kushoto akitoa zawadi ya vyakula kwa ajili ya sikukuu ya xmas na mwaka mpya kwa mtoto Miraji Ally anaeishi katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Maunga Center kilichopo Kinondoni hananasif wengine ni Subira Ally na Hadija Mauinga mlezi wa kituo hicho
 Msimamizi mkuu wa mauzo wa kanda ya pwani wa kampuni ta Megatrade, Albert Kingu kushoto akitoa zawadi ya vyakula kwa ajili ya sikukuu ya xmas na mwaka mpya kwa mtoto Subira Ally  anaeishi katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Maunga Center kilichopo Kinondoni hananasif wengine  Hadija Maunga mlezi wa kituo hicho na mtoto
Miraji Ally
Msimamizi mkuu wa mauzo wa kanda ya pwani wa kampuni ta Megatrade, Albert Kingu akiwa katika picha ya pamoja na watoto wanaoishi katika kituo hicho

GAZETI LA JAMBO LEO KUANZA KUPATIKANA MTANDAONIKwa habari za kila siku Soma gazeti la Jambo Leo kupitia website www.jamboleo.co.tz Utajipatia habari mbalimbali ambazo zimetokea nyumbani Tanzania na matukio mengine duniani,gazeti la Jambo Leo linatolewa na kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited, inayochapisha Jarida la Jambo Brand Tanzania, gazeti la michezo la kila wiki, Staa Spoti na gazeti la matangazo la Dar Metro linalotoka kila baada ya wiki mbili.

Wednesday, December 17, 2014

ENZOY DAWA YA NGUVU YA KIUME INARETA HESHIMA


TANGAZO LA DAWA YENYE NGUVU ENZOY

DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA MSIMKO KWA WANAWAKE WASIO NA HAMU YA TENDO LA NDOA AMBAYO HULETA MSISIMKO KWA WANAUME NA WAKE WAKUTANAPO.KWA SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU HAPA JIJINI DAR ES SALAAM MAKUTANO YA MTAA WA KIPATA NA BARABARA YA MSIMBAZI
ALLY WA YANGA BOMBA UHURU NA MSIMBAZI 0787230551 AU 0652755838
PIGA SIMU KWA MR.MKUNJE O713827689, 0755074505 , au 0719 541366
,0652755838 UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM


BUGURUNI LOZANA STENDI YA TAX ULIZIA ADAMU KIBANDANI 0755875884
SHULE YA UHURU FIKA JENGO LA AZAM BAKHRESA ULIZA NGAEJE 0713873412
MWANANYAMALA FIKA JABA KLABU  ULIZA MACHELLAH 0713470492
ENZOY INALETA HESHIMA
Photo: whatsapp 0713406938
 
 

MAZISHI YA SHEM KALENGA MAKABURI YA KISUTUYou might also like:

JUMA NYOSO AJIUNGA NA MBEYA CITYMlinzi wa kati Juma Nyosso amejiunga na kikosi cha Mbeya City Fc kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Akizungumza mara baada ya kuisaini mkataba huo kwenye ofisi za timu zilizopo jengo la Mkapa Hall jijini Mbeya, Nyoso aliyewahi kucheza kwenye timu za Ashanti United, Simba na Coastal Union, alisema amekubari kujiunga na City kwa mkataba wa mwaka mmoja kwa imani kuwa utatosha kuushawishi uongozi wa timu kumpa mkataba mrefu zaidi mara baada ya huu wa sasa.
“City ni timu nzuri na imekuwa hivyo toka ilipoanzishwa miaka minne iliyopita, matokeo yaliyoo sasa ni sehemu ya soka ambayo timu yoyote inaweza kuyapata, nimekubari kujiunga na timu kwa mkataba wa mwaka mmoja kwa sababu naamini uwezo wangu uwanjani utawashawishi viongozi kunipa mkataba mrefu zaidi pindi huu utakapo malizika na nina amini hili linawezekana kwa sababu nataka kukaa kwenye timu hii mpaka mpira wangu utakapoisha” alisema Nyosso

Akiendelea zaidi beki huyo aliyewahi pia kucheza kwenye kikosi cha timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ alisema kuwa mafanikio iliyopata Mbeya City msimu uliopita yamekuwa sababu kubwa ya yeye kukubari kujiunga na City huku akiamini kuwa amekuja kuongeza nguvu kwenye timu bora ili kuhakikisha mafanikio ya msimu uliopita yanafanikiwa tena.

K wa upande wake Katibu Mkuu wa City Emmanuel Kimbe alimshukuru Nyosso kwa kukubari kujiunga na timu hii huku akiamini kuwa uzoefu alionao mchezaji huyo utasaidia kuimarisha safu ya ulinzi kwenye kikosi cha City.

“Tunamshukuru kukubari kujiunga nasi, imani yetu kubwa kwamba uzoefu alionao utasaidia kuimarisha safu yetu ya ulinzi, hasa ukizingatia matokeo tuliyopata katika michezo saba ya mwanzo wa Ligi hii” alisema Kimbe huku kauli yake hiyo ikiungwa mkono na Kocha Mkuu Juma Mwambusi.

Kwa sasa Nyosso tayari yuko na kikosi cha City kilichosafiri kwenda mjini Songea kwa ajiri ya michezo ya kirafiki.

Sunday, December 14, 2014

SELCOM ILIVYOSHILIKI UTOAJI WA TUZO ZA TASWA NA KUWA MZAMINI MKUU WA TUZO HIZOWADHAMINI MBALIMBALI WA TUZO HIZO WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein
 Ofisa wa SelCom Tumaini Mgoli akitaja msindi wa moja ya tuzo alizokabidhi
 Baadhi ya Maofisa wa Cel Com wakiwa katika meza yao wakati wa utoaja tuzo za wanamichezo bora zinazo andariwa na Taswa
 Maofisa wa SEL COM wakifatilia matukio mbalimbali

 Maofisa wa SEL COM wakifatilia matukio mbalimbali


WADHAMINI MBALIMBALI WA TUZO HIZO WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NARAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein

AMIR KHAN, FLOYD MAYWEATHER AND Devon Alexander


De senaste nyheterna är att Amir Khan kommer att ta sig an förre IBF mästaren Devon Alexander den 13 december i Mandalay Bay Events Center i Las Vegas.

MBATIA AWANADI WAGOMBEA WA CHAMA NCCR-MAGEUZI KATIKA JIMBO LA VUNJO.


Kikundi cha Nyimbo cha Mlimbo Uwo kikitoa burudani wakati wa kampeni za Chama cha NCCR-Mageuzi za kuwanandi wagombea wa nafasi mbalimbali katika kijiji cha Mlimbo Uwo katika jimbo la Vunjo.
Wananchi katika kijiji cha Mlimbo Uwo wakijibu salamu ya chama cha NCCR-Mageuzi katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Mlimbo Uwo. 
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akimtambulisha mwenyekiti wa kitongoji cha Pangara ,Humphrey Machange aliyepita bila kupingwa katika kitongoji hicho kwa tiketi ya chama cha NCCR-Mageuzi.
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi James Mbatia akihutubia wananchi katika kijiji cha Mlimbo Uwo wakati akiwanadi wagombea katika kampeni za kuwania nafasi mbalimbali za ungozi katika kijiji hicho.

HIVI NDIVYO YANGA ILIVYOKUNWA GOLI 2-0 NA SIMBA ISHU YA NANI MTANI JEMBE


Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwa amenyanyua juu Kombe la Ubingwa wa mechi ya Nani Mtani Jembe msimu wa pili uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba imeshinda 2-0. 
 Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Mchezo, Dk. Fenella Mukangala akimkabidhi nahodha wa Simba, Emmanuel Okwi Kombe la Ubingwa wa mechi ya Nani Mtani Jembe.
Wachezaji wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao.
 Umati wa mashabiki wa Yanga.
 Umati wa mashabiki wa Simba.
Mashabiki wa Simba wakiwa wamebeba mfano wa jeneza kuwakejeli watani zao.
 Beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro'

 Beki wa Yanga, Kelvin Yondan akimiliki mpira.
 Mwamuzi wa mchezi akimuonyesha kadi ya njano mshambuliaji wa Simba, Simo Serunkuma.
 Kpah Sherman akiokoa moja ya hatari langoni mwake huku Elius Maguri akimzonga.
 Mshambuliaji wa Simba Emmanule Maguri akichuana na beki wa Yanga, Nadir Haroub.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lao la kwanza.
 Hassan Isihaka (kushoto) ana Ramadhani Singano 'messi' wakishangilia bao la kwanza la timu yao.
Beki wa Yanga, Oscar Joshua akimtoka Elius Maguri wa Simba.
Shabiki wa Yanga akipata msaada baada ya kuzimia jukwaani.
 Mashabiki wa Simba wakiwa na bango lenye idadi ya mabao waliyowahi kufungwa Yanga.
Leo ni 2-0.....
Burudani zikitolewa uwanjani.
 Mashabiki wakitolewa uwanjani baada ya kuzimia.
 Hali ilikuwa ngumu kwa mashabiki mpaka baadhi yao kuzimia.
Huduma ya kwanza kwa waliozimia ikitolewa.
 Beki wa Yanga, Kpah Sherman akichuana na beki wa Simba, Hassan Isihaka.
 Danny Mrwanda akiwa ameshika kichwa baada ya kukosa bao la wazi.
Ivo Mapunda akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
 Simon Msuva akichuana na Issa Rashid.
Ivo Mapunda (katikati) akishangilia ushindi na wenzake.
Wachezaji wa Yanga wakiwa na huzuni baada ya kumalizika kwa mchezo.
Yanga wakiwa vichwa chini.
 Medali za washindi. 
 Kocha wa Simba, Patrick Phir akisalimiana na kocha wa Yanga, Marcio Maximo kabla ya mchezo. (Picha zote na Francis Dande)
 Emmanue Okwi akiomba dua wakati akiingia uwanjani.
 Mgeni rasmi akisalimiana na wachezaji wa Yanga.
 Mgeni rasmi akisalimiana na wachezaji waSimba.
Kikosi cha Yanga.
Kikosi cha Simba.
Kocha wa Yanga akitafakari.