Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, January 26, 2015

Dege Eco Village yadhamini miaka 66 ya Uhuru ya India.Mkurugenzi wa Dege Eco Village akihojiwa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam

Afisa Mauzo, Catherine Mhina akihojiwa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam

Wageni walikwa kutoka kwenye jamii ya kihindi jijini Dar es Salaam wakisherekea madhimisho ya miaka 66 ya Uhuru wa India.
Dar es Salaam, tarehe 25 Januari 2015 - Kampuni ya Hifadhi Builders iliyokuwa na mradi mkubwa nchini inayoitwa Dege Eco Village wamedhamini madhimisho ya miaka 66 uhuru wa India niliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Dege Eco Village walilenga kuungana na balozi wa India kusherekea miaka 66 ya Uhuru pia kuwapa waTanzania nafasi maalum yakuulizia mradi huu wa Dege Eco Village na pia  kuweza kukutana na wa Menejea Mauzo wa mradi huo.
Akihojiwa meneja Mauzo Bi. Catherine Mhina alisema kwamba Dege Eco Village wanafurahi sana kuweza kukaribia waTanzania katika madhimisho haya na kuweza kuwaelezea mradio mkubwa wa Dege Eco Village. Aliongezea na kusema kwamba mradi huu wa Dege Eco Village iliyopo Ras Dege, Kigamboni itakuwa na huduma za kijamii kama hospitali, shule aina ya chekechea, sekondari, pia kutakuwa supermarket na kadhalika.
Kwa mawasiliano zaidi tembelea tovuti ya www.degeecovillage.com

KING CLASS TEAM YAENDELEA KUJITANGAZA KWA AJILI YA MPAMBANO WA FEB 28
BAADHI YA WAWAKILISHI WA KING CLASS TEAM WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA WAKATI WA KUENDELEA KUTABNGAZA MPAMBANO WA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' KUSHOTO NA COAMAS CHEKA UTAKAOFANYIKA FEB 28 KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA WENGINE KATIKATI NI KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' NA BILALI NGONYANI 'MTEMI WA JELA'
KUTOKA KUSHOTO NI KOCHA RAJABU MHAMILA 'SUPER D' BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA BILALI NGONYANI
KUTOKA KUSHOTO NI KOCHA RAJABU MHAMILA 'SUPER D' BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA BILALI NGONYANI

kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AKIMUONESHA KWENYE FLANA HASIMU WAKE COSMAS CHEKA KUWA ATAMFANYIA KITU MBAYA SIKU YA MPAMBANO WAO WA FEB 28 KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Saturday, January 24, 2015

NGUMI KUPIGWA FEB 28 UWANJA WA NDANI WA TAIFANa Mwandishi Wetu
MPAMBANO wa masumbwi unaosubiliwa kwa hamu kubwa na washabiki mbalimbali wa mchezo wa masumbwi nchini kwa sasa ni kati ya bingwa wa WPBF Africa Ibrahimu Class 'King Class Mawe' na Cosmas Cheka ambao watagombania ubingwa wa U.B.O Africa siku ya Feb 28 katika uwanja wa ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' pia siku hiyo kutakuwa na mpambano mwingine wa mahasim wawili ni kati ya bondia Fransic Miyeyusho na Fadhili Majiha  yote ikiwa ni mipambano ya raundi kumi kila moja

akizungumza mpambano huo promota Ally Mwazoa amesema ameamua kuwakutanisha mabondia hawo vijana ili wapate changamoto ya mchezo wa masumbwi na unapokuwa bondia unaitajika kila wakati uwe unacheza angalau kwa mwaka ucheze mara nne ili kiwango chako kiweze kupanda vinginevyo kama auchezi kiwango kinashuka hivyo nimeligundua hili na nimeamua kuwaletea mpambano huu mkali wa aina yake kwa ajili ya kuondoa ubishi

aliongeza kuwa siku hiyo kutakuwa na mipambano mingine ya utangulizi ambapo bondia Ramadhani Shauri atapambana na Saidi Mundi wa Tanga na Kazaula Pius wa Morogoro atakumbana na Mwinyi Mzengela wakati Shedrack Ignas atacheza na Husein Mbonde na Sadick Abdulazizi atakumbana na Godfrey Silve na Mohamed Amir atacheza na Fadhili Chamile

siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi  mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywether, Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali
na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.

MAELEZO BADILISHENI MFUMO WA UTOAJI PRESS CARD

WASOMAJI na wadau wangu nawasalimu na naimani kuwa Mwenyezi Mungu ametujalia tumeuona mwaka mpya wa 2015 salama salmini. Nawatakia heri na fanaka katika mwaka huu pia na karibuni tena katika porojo zangu za ukweli.

IDARA ya Habari –MAELEZO ndiyo idara ya serikali inayoshughulika na kufanya kazi zake kama chombo cha usimamizi wa vyombo vya habari na waandishi wake.

Idara hiyo pia ndio msemaji wa masuala mbalimbali ya serikali lakini pia ndiyo idara yenye jukumu la kusajili au hata kuyafutia usajili magazeti hapa nchini na vyombo mbali mbali vya hjabari.

Waandishi wa habari waajiriwa na wale wa kujitegemea wameanza mchakato wa kujaza fomu kwaajili ya kupatiwa vitambulisho vipya vya kazi (PRESS CARD) kwa mwaka 2015.

Jambo hili ni zuri kwa waandishi wa habari maana kitambulisho hicho cha serikali hutolewa kwa waandishi walio na sifa za uandishi tu na sio wale waparamia fani za watu maarufu kama kanjanja.

Ndio! Uandishi wa habari ni taaluma kama taaluma nyingine, kwa hiyo kila mwanahabari anatakiwa kuwa na Press Card ambacho ndicho kitambulisho cha serikali, kama huna basi wewe sio muandishi au laa hujakomaa kuwa muandishi. SOMA ZAIDI FATHER KIDEVU BLOG

MABONDIA FRANSIC MIYEYUSHO NA FADHILI MAJIA SASA KUPAMBANA FEB 28

Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto akitunishiana misuli na Fadhili Majia baada ya makubaliano ya kupambana feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa 'indoor stadium' katikati ni  mratibu wa mpambano huo Antony Rutta  Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto akitunishiana misuli na Fadhili Majia baada ya makubaliano ya kupambana feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa 'indoor stadium'  Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto akitunishiana misuli na Fadhili Majia baada ya makubaliano ya kupambana feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa 'indoor stadium'  Picha na SUPER D BOXING NEWS
FADHILI MAJIA

FRANSIC MIYEYUSHO

Tuesday, January 20, 2015

SUPER D AENDELEA KUMNOWA BONDIA KING CLASS MAWE KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE WA UBINGWA WA U.B.O AFRICA FEB 28Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa,  Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi za 'upcat' mkunjo wa chini kwa ajili ya kupiga chembe na kidevu wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa,  Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi za 'upcat' mkunjo wa chini kwa ajili ya kupiga chembe na kidevu wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa,  Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi za 'upcat' mkunjo wa chini kwa ajili ya kupiga chembe na kidevu wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu

KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa
masumbwi nchini anaendelea kumnoa bondia bingwa wa W.P.B.F Africa Ibrahimu Class 'king Class Mawe' kwa ajili ya mpambano wake wa kugombania ubingwa wa U.B.O Africa na Cosmas Cheka  utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa taifa feb 28

akizungumzia mpambano huo Super D amesema kuwa bondia wake kwa sasa ndio bondia bora wa Tanzania baada ya mwaka jana kwenda nchini Zambia na kurudi na ubingwa wa WPBF Africa hivyo kwa nchini akuna bondia yoyote atakae mbabaisha katika uzito wake kwa kuwa yeye ni bingwa wa nje na ndani kumbuka mabondia wengi wanaokwenda nje wanapigwa raundi ya kwanza ya pili au ya tano na king class kafuta uteja wa aina hiyo kwa kumpiga bondia nyumbani kwao na kunyakuwa ubingwa

nae bondia King Class Mawe amesema kwa sasa mda wowote ule hata leo naomba tupigane tu kwa kuwa nipo fiti sana hivyo nipo tayali kwa mpambano huo ninao usubilia kwa hamu kubwa sana ambapo tangia nichukue ubingwa nchini Zambia mwaka jana sijacheza hivyo nina uchu wa kupigana hata leo

ili kuondoa utata watanzania wapate kujua nani zaidi katika mchezo huu wa masumbwi nimesikia sana Cosmas Cheka anatamba hivyo namwambia mimi ni mfalme wao katika masumbwi nchini na awezi kupigana na mimi kwa kuwa yeyey anataka kusafilia nyota ta kaka yake fransic Cheka na awezi nina kila sababu ya kumsambalatisha Cosmas hivyo aje kwa tahadhali

siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi  mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywether, Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali
na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.

BARAZA LA WATUMIAJI HUDUMA SUMATRA LASHIRIKI MAONESHO YA MIAKA 40 YA CHUO CHA NIT JIJINI DARAfisa wa Elimu kwa Wateja kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Nicholous Kinyariri  akitoa maeklezo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Monica Mwamunyange (kulia) wakati alipotembelea banda la SUMATRA katika maonesho ya kuazimisha miaka 40 tangu kuanzishwa kwa chupo cha Usafirishaji Tanzania (NIT) kwenye viwanja vya chuo hicho jana. Kushoto ni Afisa wa Baraza hilo la Sumatra, Doatha Kabyemela.
Naibu Katibu Mkuu wa Uchukuzi, Monica Mwamunyange (kulia) akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Usafirishaji  (NIT) Mhandisi Priscilla Chilipweli baada ya kupokea maelezo ya kina na yanayoeleweka ipasavyo kuhusu shughuli za baraza hilo kutoka kwa  Afisa wa Elimu kwa Wateja kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Nicholous Kinyariri.
Maafisa wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, wakitoa elimu kwa wananchi.
 Wananchi wakipata elimu katika baraza hilo.
 Maafisa wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, wakitoa elimu kwa wananchi.
 Afisa wa Elimu kwa Wateja kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Nicholous Kinyariri akielezea takwimu za utafiti uliofanywa na baraza.
Afisa wa Elimu kwa Wateja kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Nicholous Kinyariri akitoa elimu kwa vijana.

DKT.SHEIN AFUNGUA SEMINA YA MATOKEO MAKUBWA SASA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifungua semina ya siku moja kuhusu matokeo makubwa na ya haraka katika kuleta mageuzi ya kiuchumi na kuleta maendeleo nchini,ufunguzi huo ulifanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja na kuwashirikisha Viongzi wa ngazi za juu wa serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Mawaziri,Naibu Mawaziri,Makatibu Wakuu,Naibu Makatibu Wakuu na Watendaji wengine.
 Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakifurahia jambo wakati wa semina ya siku moja kuhusu matokeo makubwa na ya haraka katika kuleta mageuzi ya kiuchumi na kuleta maendeleo nchini iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),
 Mshauri wa Rais Uchumi Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa alipokuwa akielezea dhamira nzima ya semina ya siku moja kuhusu matokeo makubwa na ya haraka katika kuleta mageuzi ya kiuchumi kwa wajumbe wa Semina hiyo na kuwatambulisha Watoa mada katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo ambapo Mwenyekiti wa Semina hiyo akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 Baadhi ya Mawaziri na Manaibu Waziri na watendaji wengine wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakifuatilia kwa makini wakati zilipokuwa zikitolewa mada katika semina ya siku moja kuhusu matokeo makubwa na ya haraka katika kuleta mageuzi ya kiuchumi na kuleta maendeleo nchini iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
 Mtaalam kutoka Malaysia Dk.Idris Jala Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuupia Mkuu wa kitengo cha usimamizi wa utafutaji ufumbuzi wa matatizo kwa njia za vikao vya wataalam mbali mbali wa(maabara) ya Malaysia (PEMANDU) akitoa mada katika semina ya siku moja kuhusu matokeo makubwa na ya haraka katika kuleta mageuzi ya kiuchumi na kuleta maendeleo nchini iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayoshuhulikia utafiti katika ufumbuzi wa matekeo makubwa na ya haraka Bw.Omari Issa kutoka Tanzania Bara wakati alipokuwa akitoa mada yake wakati wa semina ya siku moja kuhusu matokeo makubwa na ya haraka katika kuleta mageuzi ya kiuchumi na kuleta maendeleo nchini iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akiwa Mwenyekiti wa Semina hiyo. Picha na Ikulu.

SUPER D AMNOA BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' KUMKABILI CHEKA FEB 28Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa,  Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi za 'upcat' mkunjo wa chini kwa ajili ya kupiga chembe na kidevu wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa,  Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi za 'upcat' mkunjo wa chini kwa ajili ya kupiga chembe na kidevu wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa,  Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi za 'upcat' mkunjo wa chini kwa ajili ya kupiga chembe na kidevu wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa,  Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi zilizo nyooka wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia bingwa wa WPBF Africha Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila Super D

Bondia bingwa wa WPBF Africha Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila Super Dkutoka kushoto ni Shabani Kaoneka , Imani Daudi, Kelvin Majiba, Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' Salumu Mponda Omari Bai na bingwa wa mkanda wa WPBF Africa Ibrahimu Class 'King Class Mawe'

baaada ya mazoezi picha ya pamoja super d wa pili kulia

Kocha Super D wa pili kulia akiwa na vijana wajke baada ya mazoezi makali
Bondia bingwa wa WPBF Africha Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila Super D