Kocha wa kimataifa wa mchezo wa
masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akimkabidhi vifaa
bondia Mussa Chitepete wa Songea vilivyotolewa na Super D kwa
kushilikiana na marafiki zake wa kwenye mtandao wengine kulia ni Kiliani
Shayo na Rajabu Mkamba ambaye ni mdau mkubwa wa kuhamasisha kusaidia
mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akimkabidhi vifaa bondia Mussa Chitepete wa Songea vilivyotolewa na Super D kwa kushilikiana na marafiki zake wa kwenye mtandao wengine kulia ni Kiliani Shayo na Rajabu Mkamba ambaye ni mdau mkubwa wa kuhamasisha kusaidia mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING |
Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa
masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kwa kushilikiana na marafiki
zake wa kwenye mtandao wa kijamii wa watsupp wamemkabidhi vifaa bondia
Mussa Chitepete wa Songea kwa ajili ya kuhamasisha mchezo wa masumwi
nchini
Super D alimkabidhi vifaa hivyo bondia
huyo hivi karibuni alivyotembelea jijini Dar es salaam kuja kushiliki
mchezo wa masumbwi ambapo alipatiwa glove,gum shit,clip bandeji pamoja
na kamba kwa ajili ya kurukia
vifaa hivyo vilivyotolewa na super D
kwa kushilikiana na mdau mkubwa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu
Mkumba ambaye ndie mwamasishaji mkubwa katika mtandao huo kwa ajili ya
kusaidia mabondia
baada ya kukabidhiwa msaada huo bondia Mussa Chitepete wa Songea alishukulu wadau
mbalimbali kwa kumpatia vifaa na kumpongeza kocha Super D kwa kuanzisha mtandao ambaoumekuwa muhimu sana kwangu kwa mimi kupata vifaa najua sitotumia peke yangu wapo na wenzangu tutakao tumia nao pamoja vifaa hivi ambavyo itakuwa chachu ya kuinua mchezo wa masumbwi Songea
mbalimbali kwa kumpatia vifaa na kumpongeza kocha Super D kwa kuanzisha mtandao ambaoumekuwa muhimu sana kwangu kwa mimi kupata vifaa najua sitotumia peke yangu wapo na wenzangu tutakao tumia nao pamoja vifaa hivi ambavyo itakuwa chachu ya kuinua mchezo wa masumbwi Songea
nae mdau mkubwa wa masumbwi nchini
Rajabu Mkamba amesema kwa kushilikiana na Super D wamefanya mambo mengi
kwa ajili ya kuinua mchezo wa masumbwi nchini hivyo atutoishia hapa
tutaendelea kutoa sapoti kwa mabondia na wadau mbalimbali ili mchezo
usonge mbele na wadhamini wajitokeze kusaidia ili vijana wawe na moyo wa
kucheza mchezo wa masumbwi
No comments :
Post a Comment