Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, May 16, 2016

MABONDIA WA TANZANIA WAPIGWA PINI KUCHEZA JUNE 4 UWANJA WA TAIFA

Bondia Japhert Kaseba kulia akitia saini mkataba wa kuzipiga na bondia Amour Mzungu wa Zanzibar siku ya june 4 mwaka uhu katika uwanja wa ndani wa taifa anaeshudia ni Katibu wa shilikiho la ngumi za kulipwa nchini Anton Rutta Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Jonas Segu kulia akitia saini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa taifa atakapozxipiga na bondia kutoka nje wanaoshudia katikati ni Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto ni kocha wa bondia huyo Kwame mkuluma na mwingine ni Hamisi Chala Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Mfaume Mfaume akisaini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 mwaka uhu na bondia kutoka nje ya nchi   mbele ya  Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto    Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Fadhili Majiha kulia akisaini mkataba wa kuzipiga na bondia kutoka nje siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto ni kocha wa bondia huyo Kwame mkuluma
Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu
MABONDIA wengine wa Tanzania wamepigwa pini kwa ajili ya kucheza mapambano ya kimataifa siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa

Mabondia hawo walisaini mkataba uho wa kuzipiga na mabondia kutoka nje ya nchi mbele ya  Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta

waliosani kuzipiga na mabondia kutoka nje ya nchi wakiongozwa na Japhert Kaseba ataaezipiga na Amour Mzungu kutoka Zanzibar wengine wailio saini kuzipiga siku hiyo ni pamoja na

Mfaume  Mfaume, Fadhili Majiha,jonas Segu, Alphonce Mchimiatumbo, Vicent Mbilinyi pamoja na Ashiraf Selemani kutoka Zanzibar ambaye nae atazipiga siku hiyo

Mipambano hiyo mingine ya kimataifa inaletwa na promota mkongwe nchini katika maswala ya mchezo wa masumbwi si mwingine bari ni Ally Mwazowa kutoka mkoa wa Tanga 

 siku hiyo pia kutakuwa na ugawaji wa zawadi mbalimbali kwa mabondia watakaocheza vizuri na kuonesa nidhamu ya mchezo wa masumbwi kutoka kwa kocha Rajabu Mhamila 'Super D'  ikiwemo vifaa vya mchezo pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutamba sheria za mchezo uho nyingine zitakuwa zikiuzwa kwa galama nafuu kwa mashabiki watakaofika siku hiyo

No comments :

Post a Comment