Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, June 27, 2011

Ocean View yaingia robo Fainali

Ocean View yaingia robo Fainali

Timu ya Zanzibar Ocean View imekuwa ya kwanza kujihakikishia kuingia hatua ya Robo fainali katika mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama kombe la Kagame baada ya kushinda mechi ya pili mfululizo kwa kuichapa Red Sea ya Eritrea 2-0 katika mchezouliocheza kwenye uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, Tanzania.

Cecafa

Kombe la Kagame



Katika mchezo wa kwanza ulichezwa siku ya ufunguzi wa michuano hiyo Jumamosi Zanzibar Ocean View waliilaza Etincelles ya Rwanda 3-2.


Wakiwa wenye kujiamini Zanzibar Ocean View walipata goli la kwanza katika dakika ya 35 kipindi cha kwanza goli lililofungwa na Suleiman Haji kwa shuti kali baada kupokea pasi kutoka kwa Mohamed Hamduni hadi kipindi cha kwanza kinamalizika Zanzibar Ocen View ilitoka kifua mbele kwa 1-0.



Kipindi cha pili kilikuwa cha mshikemshike lakini ni Zanzibar Ocean View walioonekana kuutawala zaidi mchezo huo ambapo katika dakika ya 86 Said Rashid alimalizia karamu ya leo kwa kufunga goli la pili hadi mpira unamalizika matokeo yalikuwa 2-0.



Katika mchezo huo Aron Zakarias wa Red Sea alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kumfanyia faulo mbaya Salum Shebe wa Zanzibar Ocean View.


Katika mchezo wa pili timu ya Vital’o FC ya Burundi imejiweka katika mazingira mazuri ya kuingia hatua ya Robo Fainali baada ya kuifunga timu ya Entincelles ya Rwanda kwa magoli 3-1.



Katika mchezo wa awali timu hiyo ya Vital’o FC ilitoka sare ya kutofungana na timu ya Simba ya Tanzania.



Magoli ya Vital’o FC yamefungwa na Steive Nzigamasabo, Stanley Minzi na Miami Mbakiye huku goli pekee la Entincelles likifungwa na Claver Muhire



Kwa matokeo hayo timu ya Zanzibar Ocean View ndio wanaoongoza kundi A wakiwa na jumla ya pointi 6 baada ya kushinda mechi zote mbili huku Vital’o ya Burundi ikishika nafasi ya pili ikiwa na pointi 4.

Timu ya Simba ya Tanzania ipo nafasi ya tatu ikiwa na pointi moja wakati timu za Entincelles ya Rwanda na Red Sea ya Eritrea hazina pointi.

Sunday, June 26, 2011

BONDIA CHEKA AMDUNDA MKENYA KWA POINT

MABONDIA WAKISALIMIANA BAADA YA KUPIGANA SANA NA KUTOANA NGEO KUMAANISHA KUWA MCHEZO NI FURAHA NA NI MCHEZO KAMA MICHEZO MINGINE KUSHOTO NI DANIEL WANYONYI KUTOKA KENYA NA FRANCIS CHEKA WA TANZANIA
MASHABIKI WA KUFA MTU MOROGORO JANA




WADAU WA NGUMI WAKIPIGA PICHA

Matokeo yakitangwazw



Mashabiki wakifatilia mpambano uho jana





Bondia Francis Cheka akinyoshwa mkono juu na Refarii Omari Yazidu katikati wakati wa kutangaza mshindi picha na SUPER D BOXING COACH
Bondia Daniel Wanyonyi kushoto akitupa ngumi kwa bondia Cheka jana katika uwanja wa Jamuhuru Morogoro picha na Super D Boxing Coach

Bondia Wanyonyi akiendelea na Mashambulizi wakati wa mpambano uliofanyika katika uwanja wa jamuhuri Morogoro jana Cheka alishinda kwa point picha na Super D Boxing Coach
Asikali polisi wakimalisha ulinzi mkali uku wakiwa na mabomu ya kutoa machozi jana picha na Super D Boxing Coach

NAPE AKUTANA NA MA-BLOGGER DAR










Katibu wa NEC, Itikati na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akizungumza na watayarishaji wa mitandao ya Blogu, leo, makao makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Msaidizi Mkuu wa Idara ya Itikadi na Uenezi, Sixtus Mapunda




Nape akiwa katika picha ya pamoja na ma-blogger hao baada ya mazungumza hayo kuhusu masuala ya jamii, na kujitambulisha kwao katika wadhifa wake kama

TANZANIA YAPATA TUZO YA UN KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA JAMII







Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, Tuzo ya UN ya mshindi wa pili ya Tanzania katika kutoa huduma bora kwa Jamii (Mkurabita) , wakati Makamu alipofika kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Juni 23, 2011 kufunga maadhimisho ya siku ya Utumishi ya Umoja wa Mataifa na Afrika, ikiwa ni mara ya kwanza kwa hafla hiyo kuadhimishwa Barani Afrika na kufanyika nchini Tanzania. Picha na Muhidin Sufiani-OMRs

JB-ATWAA TUZO YA UIGIZAAJI BORA TAMASHA LA ZIFF ZANZIBAR






Msanii wa Luninga,JB (kushoto) akipokea Tuzo ya uigizaji Bora kutokaa kwa Ofisaa Mtendaji Mkuu wa ZIFF, Profesa Martin Mhando
JB-akishangiliaa na kuifurahia Tuzo yake



Warembo wakiwa na tuzo mkononi tayari kwa kukaabidhiwaa kwa wahusika

IRENE KALUGABA AWA VODACOM MISS MWANZA










Vodacom Miss Mwanza 2011 Irene Kalugaba akiwa a picha pamoja na =mshindi wa pili Vodacom Miss Mwanza Frola Razaro (kulia)a Monica James mshindi wa pili wa shindano la Vodacom Miss Mwanza lililofanyika kwenye hoteli mpya na ya kisasa kabisa ya Gold Crest karibu kabisa na hoteli kongwe ya New Mwanza Hoteli jijini Mwanza ambapo tayari shindano limekwisha na washindi ndioyo hao.


Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Kanda ya ziwa Bw Stephen Kingu akipokea cheti kwa niaba ya Vodacom Tanzania kama ishara ya kampuni ya Sisi Entertainment kushukuru kwa udamini wao madhubuti na mnono kutoka Vodacom.


Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ziwa Bw Stephen Kingu akiwa katika picha ya pamoja na wafayakazi wenzake, kulia ni Janet Kambeson msaidizi wa Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya Ziwa, Miriam Makalla Mwakilishi wa Mauzo Vodacom Kanda ya Ziwa , Bernald Kombe Activation Coordinator Lake Zone .


Hii ndiyo tano bora ya Vodacom Miss Mwanza kutoka kulia ni Ester Laurent, Monica James, Diana James, Irene Kalrgaba na Frola Razalo wakipozi kwa picha.


Majaji wa shindano hilo wakijadili jambo kabla ya kumtangza mshindi kutoka kushoto ni Cess Odemba Ben Mwangi,Cynthia Buhama


Kutoka kulia ni Rubeny , Msanii Mwasiti , Zamaradi Mketema wakibembeleza mtoto.


Lina wa THT na Sajna msanii kutoka mkoani mwanza.


Msanii Barnaba akipagawisha mashabiki wake wakati wa shindano la Vodacom Miss Mwanza lililofanyika katika hoteli ya Gold Crest Hotel.


.Vazi la Ufukweni kama unavyoona.


Hapa wakiendelea kupita na vazi la ufukweni.


Vazi la Ufukweni bado linaendelea.


Wasanii wa mwanza wakifanya vitu vyao jukwaani wakati wa shindano la Vodacom Miss Mwanza linaloendelea usiku huu katika hoteli ya Gold Crest Hotel.


Mkuu wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ziwa Stephen Kingu katikati akiwa katika picha ya pamoja na wadau wengine wa Vodacom Mwanza wakishuhudia shindano hilo, Vodacom ni wadhamini wakuu wa Miss Tanzania


na Mkurugenzi wa Clouds Ruge Mutahaba


Mdau Flora kulia wa Mwanza akiwa na rafiki yake


Vazi la ubunifu


Hili limebuniwa kwa majani mapana yaliyokolea rangi ya kijani.


Hili limebuniwa kwa kitenge na shanga.


Mashabiki mbalimbali wa urembo wakishuhudia shindano hilo usiku huu.


Ukumbi umefurika kiasi kwamba hakuna mahali pa kukaa na watu wengine wameshindwa kuingia na kubaki nje na wengine kuondoka.

MWANAMUZIKI SHAGGY ATUA JIJINI MWANZA TAYARI KWA SERENGETI FIESTA CCM KIRUMBA















Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers Jaji Mark Bomani, akimkaribisha Mwanamuziki Shaggy kutoka nchini Marekani wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza, tayari kwa onyesho lake kabambe litakalofanyika katika tamasha la Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Kesho.


Shaggy akipiga picha na warembo wawili mara baada ya kukabidhiwa ua kama ishara ya kumkaribisha wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo mchana.


Meneja wa kinywaji cha Serengeti Lager Allan Chonjo akisalimiana na mwanamuziki Shaggy mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo mchana.


Mtangazaji wa Clouds Rubeny Ncha kali akifanya mahojiano na mwanamuziki Shaggy mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza.


Mwanamuziki Shaggy akipozi kwa picha na warembo wa mwanza mara baada ya kwasili jijini huo leo mchana.


Mkurugenzi wa Clouds Entertainment Bw. Joseph Kusaga akimuongoza mwanamuziki Shaggy kutoka nchini Marekani mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo mchana.

Tuesday, June 21, 2011

WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA NGUMI WAENDELEA NA MAZOEZI




Wakifanya mazoezi
Kaa mbali tafadhali
Uuuu.....
Mh.......
Duh
Hii hatari.......
Kocha wa Timu ya Taifa ya Ngumi, Geovanus Hurtado, akimuelekeza jambo bondia Seleman Kidunda, wakati wa mazoezi kwenye Uwanja wa nnje wa Taifa, Dar es Salaam
Twende twende

CASTAL LAGER KUDHAMINI MASHINDANO YA KAGAME CUP NA KUITWA KAGAME CASTAL CUP.


Katibu Mkuu wa Baraza la vyama vya soka vya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Nicolaus Musonye (kulia) akibadilishana mikataba ya udhamini wa Kombe la Kagame, litakalojulikana kama Kagame Castle Cup Dar es Salaam jana..Katikati ni Rais wa CECAFA, Leodger Tenga