Kocha Kondo Nassoro akimuonesha jinsi ya kupiga ngumi Zainabu Mhamila (Ikota Super D) uku nyuma akisimamiwa na Kocha Mkongwe Habibi Kinyogoli wakati wa mazoezi yaliyofanyia katika kambi ya Ilala mchezo wa ngumi umekuwa ukionekana kuwa ni uwadui wakati ni miongoni mwa michezo inayopendwa na kutamba Duniani
BALOZI MATINYI AKABIDHI HATI KWA RAIS WA ALGERIA
-
Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi akisalimiana na Mhe. Abdelmadjid
Tebboune, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, mara baada ya
kukabidhi...
1 day ago
No comments :
Post a Comment